Duration 2:28

Mama aliyewaua watoto wake 4 adai alivamiwa na mapepo ya kishetani

8 184 watched
0
37
Published 29 Jun 2020

Mama mmoja ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kuwauwa wanawe wanne huko Naivasha atazuiliwa kwa siku saba zaidi ili uchunguzi ukamilike. Beatrice Mwende anadai kuwa alitekeleza kitendo hicho baada ya kushawishiwa na mapepo.

Category

Show more

Comments - 33