Duration 2:2

Watumishi 33 halmashauri ya Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro wafukuzwa kazi.

563 watched
0
5
Published 4 Nov 2021

Watumishi 33 wa halmashauri ya wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro wamefukuzwa kazi kwa kuwasilisha taarifa za uongo wakati wakiajiriwa na wengine wakifukuzwa kazi kwa kushindwa kuwasilisha vyeti halali vya ufaulu wa kidato cha nne pamoja na watumishi wengine wakifukuzwa kazi kutokana na kuwa watoro kazini. Taarifa ya kufukuzwa kwa watumishi hao imetolewa na Mwenyekiti wa halmashauri hiyo RACHEL NYANGASI katika kikao maalumu cha baraza la Madiwani cha halmashauri ya wilaya ya Gairo kilichoketi kujadiri masuala mbalimbali ya kimaendeleo na kusema kuwa watimishi 21 wamefukuzwa kazi kutokana na taarifa zao kuwa za uongo walizowasilisha kwa muajiri pindi wanaajiriwa 10 wakiwa wameshindwa kuwasilisha vyeti halali vya ufaulu wa elimu ya kidato cha nne na wengine wawili akiwemo Afisa kilimo kuwa watoro kazini kwa muda murefu bila ya kutoa taarifa.

Category

Show more

Comments - 0