Duration 8:56

TANZANIA, BURUNDI NA JAMHURI YA DEMOKRASIA YA KONGO KUJENGA RELI YA KISASA PAMOJA

896 watched
0
14
Published 2 Feb 2020

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Tanzania Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe na Waziri wa Uchukuzi wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo Mhe. Didier Mazenga Mukanzu wametembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR jijini Dar es Salaam, Januari 1, 2020. Lengo la ziara ya Mawaziri wa nchi hizo mbili ni kuhakikisha maagizo ya Marais wa nchi za Tanzania, Burundi na Kongo ya kujenga reli ya kisasa kuanzia Uvinza – Msongati hadi Kongo yanatekelezwa kikamilifu ili mizigo ya Kongo na Burundi inayoingia katika Bandari ya Dar es Salaam iweze kusafirishwa kwa haraka na kwa bei nafuu, lakini pia kurahisisha muingiliano wa kibiashara katika nchi hizo.

Category

Show more

Comments - 2