Duration 2:19:3

LIVE: MSTAAFU KIKWETE, KINANA, MAKAMBA WASHIRIKI KUMBUKUMBU ya KIFO CHA BABA MZAZI WA NAPE NNAUYE

52 680 watched
0
181
Published 5 Dec 2021

🔴#LIVE: MSTAAFU KIKWETE, KINANA, MAKAMBA WASHIRIKI KUMBUKUMBU ya KIFO CHA BABA MZAZI WA NAPE NNAUYE LEO Desemba 05, Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa serikali wameshiriki katika kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses Nnauye.. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: /playlist/PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: /playlist/PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 182
  • @
    @dianamahendekamahendeka13443 years ago Happy analia bora amekufa tumebaki tunakula bata raha imerudi endeleeni mungu ana waona. 2
  • @
    @deusdebitkowa96573 years ago Kwa kweli, maisha ya magu na hata kifo chake vinawatafuna sana hawa jamaa. Mwenye haki, haki husimama naye daima hata baada ya kifo chake. 14
  • @
    @deusdebitkowa96573 years ago Ngeleja na membe wapo wapi nape? Au uliwasahau. Kumbukeni hatujawasahau. Verykujionesha waziwazi sasa. Kwa ukaribu sana. 4
  • @
    @onesmolwambano93493 years ago Hivi babu yangu walioba anashati moja tu. 2
  • @
    @bakermusa90333 years ago Sadly expect more gathering like this for some reasons. 5
  • @
    @sheshem54533 years ago Mwenyezi mungu ampumzishe kwa amani mzee nnauye. 1
  • @
    @queenkileo36983 years ago This gathering is interesting!
    makamba.
    does that ring bells?
    only membe is out.
    9
  • @
    @teddyoscar68763 years ago Leo ndio wanasheherekea kifo cha magufuli hawana lolote cheki walivyokunja nne mmh. 7
  • @
    @gracekaboigora1893 years ago Kwa sasa waliopo ni after pesa, ni maheitiemu tena bank zote. 2
  • @
    @sokoinekagali97592 years ago Nyie kila siku mnajisifia tu hicho kidogo ulitetendea taifa mungu sijui alijuaje akamfanya nyerere kukomboa taifa hili angelikuwa miongoni mwenu au baba . ...Expand
  • @
    @jongwemomumo87293 years ago Mnajipanga, nape siku zotee hajawahi kuandaa event kama hii kuna walakini. 6
  • @
    @davejoe59493 years ago Crocodile teas moses is just your dad has been in the army. Remember mayunga and many died. Many soldiers need help right now. 2
  • @
    @sokoinekagali97592 years ago Ni kweli kabisa kuna kamchango mulikochangia kwenye taifa hini nyinyi ni miongni lkn mlikuwa mnalipwa mushahara lkn kwann hako kamchango mnakaweka mbele . ...Expand
  • @
    @mtumishimathias77623 years ago Naona mmeanza kujiweka kweupe, hawa ndio wenyewe sasa g 7 of the state. 2
  • @
    @saidalsalmi93133 years ago Safii sana, ccm iko vizuri, watu wasio julikana hakuna tena. 1
  • @
    @abdallahhaji37933 years ago Sasa nape kama unamshukuru nyerere kwa dhati na unamkumbuka, basi usipinge ndoto zake za bwawa la nyerere hata kidogo maana ni kwa manufaa ya tanzania. 2
  • @
    @bakermusa90333 years ago Ukweli mchungu makamba ndo kiungomama na hili genge zitto. Sad. 7
  • @
    @ameedamilja79923 years ago Awamu ya 4 hii tupu imekutana acha wacheke tu kukumbukia enzii zao za twiga kupanda ndege kwenda nje. Ila wimbo umeleta hisia sana sijui jamaa kakumbuka nini. 3
  • @
    @kefamwakipesile2753 years ago Neno mheshimiwa nini? Na nina na mwenye sifa gani apewe heshima ya kuitwa mweshumiwa? 2
  • @
    @amosimwambembela49893 years ago Hivi hii kumbukumbu imewahi fanyika hata mara nyingine huko nyuma?
  • @
    @richardmziba552 years ago Mche waumeoteshwa hapo. Tusubiri muda si mrefu wakati utaongea.
  • @
    @saidimwishehekienda9333 years ago Huyu bwegekwa sauti ya kujificha] ndio fundianazingua kweli. 1
  • @
    @ashrona98843 years ago Ila fannyen yote ila mungu yupo mshakupatiana mafisadi lana ya mungu itakutafuneni. 2
  • @
    @martinelaurence52112 years ago Huyo ndo mmemuona mumtangaze youtube? Nyinyi mmetuletea shida sana. 1
  • @
    @victorishengoma45993 years ago Mbona jk hakumkumbuka swaiba wake nauye ila wakampresurize jpm amkumbuke?
  • @
    @jofreymanfred65603 years ago Wenye nchi hao sio nyie wapiga kelele wa chatu sasa ni raha tu, 1
  • @
    @billgussy60993 years ago Mnao tukana acheni kutukana basi kila zama na zama zake, hawa ndo wanajua siasa hawana makasiriko. 4
  • @
    @zesootv67263 years ago Wenye nchi hao siyo wapga kelele kama sisi ambao baba zetu ni kajamba nan. 1
  • @
    @saidipara41343 years ago Dahh yani kila nikiandika comment na futa. Dah.
  • @
    @jumamnumbwa94832 years ago Brigadia moses nnauye alikuwa mjamaa haswa ajabu watoto wafuasi wa ubepari.
  • @
    @kingbuddah63723 years ago Na ndio maana nape baba yako kanyongwa kwa sababu ya mabaya alikua akitenda.
  • @
    @istambuliahmedi82033 years ago Mtu akishakufa mambo yake yota yana katika isipokua mambo matatu sadaka yenye kuendelea au elimu ambayo watu wana nufaika kwa elimu hiyo au mtoto mwema . ...Expand
  • @
    @sadickbudoda43613 years ago Hakim ni mwenyezimungu, kuna cku atawatia nguvun watu flan na c rahic kama moja jumrisha moja. 2
  • @
    @gracegrace62003 years ago Hawa ndiyo watekaji wa taifa letu. Lazima tuwakatalie. Waache kutuonyesha machozi ya mamba. 6
  • @
    @sheudedhusabuni31523 years ago Kweri wahenge niwahengea 2 nape nimekukubari san mbele ya mzee wa msoga.
  • @
    @geraldmwandolela85353 years ago Hakika mna historia nzuri kwa kupitia wazazi wetu walifanya mengi mazuri kwa taifa, swali ni kwenu nyie watoto wao mumeifanyi nini taifa, hatuwezi kuishi . ...Expand
  • @
    @kingbuddah63723 years ago Watanzania hawa watu walikuwa c watu wazuri ukweli awaongei wanaficha mnawaona watoto zao rohozao zilivyo walikuwa wauaji hawa.
  • @
    @felixmathias63623 years ago Safi sana, taifa likiwa hivi hata wananchi watakuwa na umoja na raha. Kweli miaka sita tumeteseka. Wacha tupumuzike sasa. 4
  • @
    @gracekaboigora1893 years ago Baba tumekuelewa, ila kwa muda huu hakuna tumaini kama nahuye, haina jipya? Ni majigambo.
  • @
    @zesootv67263 years ago Washamalza yao sasa n furaha tuu si mzee ambaye alikuwa anawanyima raha kashaondoka bana sasa hivi naona mzee mweupe jino la mwanzo hadi la mwisho wao kicheko wananchi wakawaida kilio. 2
  • @
    @laurentmkolea5223 years ago Wanafiki na wapiga dili katika ubora wao. Watanzania million 60 tunaburuzwa na hawa mamba leo wanacheka tu baada ya kumuondoa mwenzao duniani. 15
  • @
    @kingbuddah63723 years ago Nyinyi wazee mlikuwa wauaji na ndio maana uyu mzee nawie alinyongwa kwa mabaya anayofanya.
  • @
    @saidalsalmi93133 years ago Safii sana ccm imerudi kwenye mikono salama. Rip mzee mosese nnyue. 1
  • @
    @kingbuddah63723 years ago Nyinyi wote mlikuwa wauaji mmeua viongozi wengi kipindi chenu na wanenu wamelisi.
  • @
    @gracegrace62003 years ago Ukitaka kuwaona walioiteka tanzania, utawaona hapa. Wazazi serikalini, kisha wanawasukuma watoto wawo kuingia serikalini ili familia hizo ziendelee kuiongoza . ...Expand 4
  • @
    @mbwanarajab47563 years ago Safii sana.
    shikamaneni kujenga nchi yetu na kuondoa chuki, dharau na umasikini uliokithiri baada ya watu kukimbia na kuonewa hasa awamu ya 5 ambayo haikua na manufaa kwa watanzania.
    5
  • @
    @masinchagabriel18483 years ago January hiyo nafasi uliyopo umeferi angalia sasa mpaka walioshindwa na nchi.
  • @
    @petermushi16793 years ago Mh january hufai kuwa waziri was nishati wewe ni mlanguzi. 7
  • @
    @Bruno-ed1ps3 years ago Nape anastahili kuwa waziri wa sanaa na michezo, sasa unaweka waziri wa sanaa hajui hata kuimba?
    mama naomba muone nape anastahili.
    1
  • @
    @TheKing-fe5os3 years ago Genge la wahuni wanasherehekea mbwa hawa. 4
  • @
    @mugishabindeba27523 years ago Waliishi kama mashetani sasa wanaishi kama wafalme.
  • @
    @gracekaboigora1893 years ago Kumbe baba hakuwa na uchu wa madaraka! 1
  • @
    @purumukamango50133 years ago Usiwe nakasirani yakumfanyia mtumazarayake nimakubwa, isipokuwa nawewe, kama muda umekupita, basi waombee watoto wako wabalikiwe na mungu maombiyako nimuhimu, kazi kukometi mambousipishe jambo baya kwa baya, wewe fanya kwawema. ...Expand 2
  • @
    @hadijamagufuli26613 years ago Fisadi iloo sura imemshuka kwa unafiki na ufisadi mbwa wewe. 2
  • @
    @praygodmtui14073 years ago Tunawaomba endeleeni kudumisha amani na mshkamano tunawaomba mrudishe furaha kwa watanzania waliopita kwenye magumu wakati wa serikali ya awamu ya tano . ...Expand 1
  • @
    @mohamedidrisa41923 years ago Hamna lolote nyie wauwajikumuuwa magu ili muendeleze kupiga madili. 3
  • @
    @kibaangashechonge30753 years ago Yote mnaongea hamtayaishi mtayachia hapohapp. 1