Duration 8:25

NEC CCM YAWAPONGEZA RAIS SAMIA NA DKT MWINYI KWA UCHAPAKAZI

172 watched
0
0
Published 29 Jun 2021

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa NEC wa White House Makao Makuu ya chama hicho jijini Dodoma leo, ambapo ametangaza maazimio ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Ikiwemo kumpongeza Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi kwa utendaji wao mzuri tangu washike madaraka.

Category

Show more

Comments - 0