Duration 15:41

Yanga vs Simba: Nginjanginja na matukio zaidi kutoka kwenye mechi ya Nov. 7, 2020

242 769 watched
0
511
Published 10 Nov 2020

YANGA 1-1 SIMBA: Tazama nginjanginja, udambwiudambwi, tuvituvitu, ubabe, pira la kiume, hisia, sambusa za hapa na pale na matukio zaidi kutoka kwenye mechi ya watani wa jadi iliyopigwa Novemba 7, 2020 na kumalizika kwa sare ya ba0 1-1 kwenye dimba la Benjamin Mkapa. #EnjoySoccer #DerbyYaKariakoo #KariakooDerby Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 48