Duration 5:19

Mtoto huanza kucheza tumboni mwa Mama Mjamzito miezi mingapi

129 932 watched
0
926
Published 31 Jul 2020

Kwa kawaida akina Mama wajawazito huwezi kuhisi kucheza kwa mtoto tumboni katika umri tofauti tofauti kulingana Mama Mjamzito husika. 1. Mama Mjamzito ambaye hakuwahi kujifungua kwa maana kwamba Mimba yake ni Mimba ya kwanza,huwezi kuanza kuhisi mtoto kucheza tumboni kuanzia miezi 4½ hadi miezi 5. 2. Mama Mjamzito ambaye amewahi kujifungua au kubeba mimba Mara mbili au Mara tatu huweza kuhisi mapema zaidi kucheza kwa mtoto tumboni ambapo huhisi mtoto kucheza kuanzia miezi 4 au miezi 4½ ukilinganisha na wale ambao ni Mara ya kwanza kuwa na Mimba. 👉Ni vema kujua kwamba unapofikia umri huo wa mimba kuanzia miezi 4 kwenda juu uweze kuhisi mtoto akicheza tumboni na kama hata cheza baada ya umri huu utatakiwa kuwahi hospitali kupata vipimo zaidi. ❤️Kuanzia wiki ya 28 au miezi 7 ni muhimu mama kuhesabu kucheza kwa mtoto kila siku, endapo Mama Mjamzito huyu anaumwa magonjwa kama Kisukari,Magonjwa ya Moyo au shida nyingine ambazo zinaweza kupelekea hatari kwa Mama Mjamzito au Mtoto wake aliyeko tumboni. MUHIMU: Endelea kujifunza nami na uliza swali pale YouTube nikotayari kukujibu bila gharama. Subscribe,Comment and Share JapideAfya_Services Your Health is Our Health youtube.com/c/Dr.Mwanyika Instagram as @JapideAfya_Services Facebook page as @JapideAfya_Services ©Dr.Mwanyika. #AfyaBora #JapideAfya_Services #MtotoKuchezaTumboni

Category

Show more

Comments - 901