Duration 16:1

Kona Ya Watoto: Tufani Kubwa | | Mariamu Kiravu

1 364 watched
0
19
Published 9 May 2020

Kipindi cha Kona ya Watoto- Kisa Biblia cha Jumamosi ya tarehe 10.05.2020. Kisa kimejengwa juu ya tukio la tufani kubwa iliyotokea katika bahari ya Galilaya, Yesu alipokuwa akisafiri na wanafunzi wake. Kisa hiki kinachopatikana katika Biblia Takatifu, kitabu cha Luka 8:22-25, Marko 4:35-4. Katika simulizi ya kisa hiki watoto wanafundishwa kumtegemea Mungu na kumuita katika changamoto (tufani) zote wanazokutana katika maisha yao, ikiwa ni pamoja na kuwaaminisha juu ya uwezo mkuu wa Mungu wa mbinguni.

Category

Show more

Comments - 2