Duration 1:53

TAZAMA SURA ZA MASHABIKI YANGA BAADA YAKUPOKEAKICHAPO | | SIMANZI, MAJONZI VYA TAWALA

20 902 watched
0
41
Published 15 Jan 2020

Hebu cheki sura za hawa mashabiki walivyokuwa wakati wakipokea kichapo kutoka kwa Kagera Sugar. Je, unadhani akilini mwao walikuwa wanamlaani nani? FT': Yanga SC 0-3 Kagera Sugar. #azam #VodacomPremierLeague #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VPL #YangaSC #KageraSugar #YangaKagera

Category

Show more

Comments - 19