Duration 20:32

NI MAKOSA GANI TUNAYOYAFANYA SISI WANAWAKE KATIKA NDOA ZETU Sehemu ya KWANZA.

1 166 watched
0
21
Published 6 Nov 2020

Wapendwa, baada ya kupata Email nyingi zaidi ya miamoja niongelee kuhusu NDOA na Mahusiano, basi msikose kuanza nami, na Hivi ndivyo nitakavyofanya: 1. Sehem ya Mwanza nitaongelea kuhusu Ndoa na Mwanamke / Mke 2. Sehem ya Pili - Ndoa na Mwanaume/ Mume 3. Mahusiano, Mchumba 4. Rafiki wa Wana Ndoa. MSIKOSE , mpe Habari na Rafiki, au Familia. Amen. ********************************************************************************************************** SEHEMU YA KWANZA: ------------------------------------ JE NI MAKOSA GANI TUNAYOYAFANYA SISI WANAWAKE KATIKA NDOA ZETU au MAHUSIANO AMBAYO YANAHARIBU NA KUTOA AMANI NA KUVUNJA NDOA au MAHUSIANO YETU ? kabla hujaendelea na video hii kumbuka, video hii na video zangu zote ujue kuwa, kila nachosema ni kile ambacho mimi nafanya, Jaribu au acha ni uamuzi wako mwenyewe, Sikulazimishi wala kuhimiza, bali fanya hivyo kwa uamuzi wako. Sipingi na sishauri Umpinge au kuacha matibabu yako uliyoandikiwa na Dr. wako. Kwa tatizo lolote litakalotokea, madhara au chochote kila ni ulikuwa uamuziwako mwenyewe. asante.. . Nifuateni Pia katika Instagram kwa Jina hili: INSTAGRAM: @siriyamwanamkemkakamavu EMAIL Adr: siriyamwanamkemkakamavu@gmx.de

Category

Show more

Comments - 6