Duration 26:9

Pikipiki ya Maajabu Dar Inayoogopwa na Kila Mtu Inavyozidi Kuwa Gumzo

993 002 watched
0
2.7 K
Published 4 Jul 2017

SUBSCRIBE NOW /user/uwazi1 Kumekuwepo na habari zilizokuwa zikienea chini kwa chini juu ya pikipiki ya maajabu ambayo inapatikana mtaa wa Magofani wilaya ya Temeke jijini Dar Es Salaam, Kelvini Shayo wa Global TV amefika katika eneo la tukio na kuzungumza na wakazi wa maeneo hayo ambao kila mmoja amefunguka anachokijua kuhusu pikipiki hiyo inayoogopwa na kila mtu, itazame video hii mpaka mwisho kujionea mwenyewe. Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublishers/ TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpublishers/

Category

Show more

Comments - 188