Duration 2:21

Mitego Ya Kunasa Wadudu Waharibifu Shambani Nzi Weupe Vipepeo Na Kantangaze IPO INAPATIKANA

262 watched
0
0
Published 19 Oct 2021

Kantangaze au tuta absoluta ni mdudu hatari sana kwa wakulima wengi hasa wakulima wa nyanya. Uhatari wa mdudu huyu ni namna ya kumfanya hasilete madhara katika nyanya zetu. JE DAWA ZA KUWAANGAMIZO ZIPO?. Kwa upande wa dawa zipo,tena zipo nyingi kweli. Shida sio dawa,ila dawa zinaelimu katika kuzitumia na madhara yake.dawa za kantangaze ni sumu.sumu hizi ni sumu kali ambazo ndizo hutumika kumuangamiza kantangaze.sasa basi hapa kuna mambo mawili makubwa ya kuyangalia.kuna swala la kumzibiti kantangaze na kuangamiza zao lenyewe la nyanya. Nimesema hapo juu kwamba sumu hizi ni kali,na sumu yoyote kali inauwezo mkubwa wa kuleta madhara kwenye zao hilo la nyanya. Nilisema kuna hitajika elimu katika sumu hizi. Elimu kubwa ni kujua utendaji wa kazi wa sumu hizi.kwanza kujua ni wakati gani ya kupiga aina ya sumu hiyo unayotaka kupiga.maana kantangaze ana hatua anazoziendea mpaka kufikia hatua ya kuleta madhara kwenye nyanya.sasa hapo zingatia elimu kwenye sumu husika. zibiti mdudu kantangaze kwa kutumia mitego #mkulimasmart #shambadarasa Kangeta kilimo - Mtego wa kantangaze mtego wa kantangaze kwenye nyanya kangeta kilimo Kwa maitaji ya mitego ya kantangaze TUTA ABSOLUTA-LEAF MINER (KANTANGAZE) - Kangeta ... JINSI YA KUMNASA KANTANGAZE (TUTA ABSOLUTA ... Kangeta Kilimo (@kangeta_kilimo) • Instagram photos and ... Mitego Ya Kunasa Wadudu Waharibifu Shambani Nzi Weupe . MITEGO YA KUZUIA WADUDU WAHARIBIFU SHAMBANI ... MITEGO YA KUNASA WADUDU WAHARIBIFU SHAMBANI ... WADUDU WASUMBUFU/WAHARIBIFU KATIKA KILIMO CHA ... KUKABILI WADUDU NA MAGONJWA Jinsi mitego maalumu inavyotumika kuwakabili wadudu ... Wadudu na magonjwa ya mazao - Utambuzi wa wadudu waharibifu na magonjwa ya nyanya kuzuia mchwa bila kemikali - Garden Organic | Mitego ya wanyama

Category

Show more

Comments - 0