Duration 9:25

Ukhty Ayman Mshindi wa Mashindano ya Qur,an ya vyuo vikuu Tz

462 watched
0
8
Published 31 May 2021

ukhty ayman ni haafidhul Qur,an juzuu 10 na Nimiongoni mwa washiriki walio shiriki ktk mashindano ya Qur,an ya vyuo vikuu na Kati tanzania ukhty Ayman anaelezea safari hiyo ya ushindi ktk mashindano hayo pia Amewashauri Wanawawake wote kukisoma kitabu kitukufu cha Qur,an na ikitokea fursa ya mashindano ya qur,an wasisite Ungana nasi ktk mjadala huu pia Usisahau kusubscribe cmment -like -kushere ahsante

Category

Show more

Comments - 11