Duration 25:54

MWISHO WA UBISHI: Jahazi Kuwatolea Povu Yah Tmk Live

10 014 watched
0
29
Published 3 Apr 2018

MWISHO WA UBISHI: Jahazi Kuwatolea Povu Yah Tmk Live! ILE shoo ya kukata na shoka ya "MWISHO WA UBISHI " ambayo imeandaliwa na Gazeti la michezo la Spoti Extra pamoja na global publishers imetikisa vilivyo katika ukumbi wa Taifa wa Burudani, Dar Live, Mbagala jijini Dar es Salaam. Steji ya Dar Live katika usiku huo wa "MWISHO WA UBISHI" ilishambuliwa pia na wasanii mbalimbali Wakiwemo wakali wa Singeli, Man fongo, Dula makabila, Sholo mwamba na kwa upande wa taarab walisimama Jahazi taarab na Yah tmk taarab ambapo walioneshana ujuzi wa kumiliki jukwaa hilo. Subscribe muda huu www.youtube.com/user/uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ...

Category

Show more

Comments - 10