Duration 53:8

BERNARD MEMBE: NI UCHAGUZI WA KISHINDO

95 253 watched
0
730
Published 14 Jul 2020

Waziri wa Mstaafu wa Mambo ya Nje nchini Tanzania, Bernard Membe amefanya mazungumzo maalum na MwanaHALISI TV na kuzungumza mambo mengi kuhusu siasa nchini pamoja na nia yake ya kutaka kugombea urais wa Tanzania kupitia chama pinzani mara baada ya kutimuliwa uanachama ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Category

Show more

Comments - 470