Comments - 345
  • @
    @TembeaNaYesu6 years ago JPM you deserve no more critics for your hard working. Hii inapendeza sana, yaani kila anayekuja anapaswa kufanya makubwa zaidi ya yule aliyepita. Hongera sana Magufuli 3
  • @
    @mariomsigwa94286 years ago Mungu amlinde RAIS wetu kwa kazi nzuri anayowafanyia RAIA wake wa Tanzania. Mungu bariki Africa,Mungu bariki Tanzania 3
  • @
    @siwajalidaudi62395 years ago hakika Rais magufuri ni rmfano wa kuigwa ,tutakukumbuka kwa kazi zako nzuri hakika tunakuombea kwa mwenyezi Mungu akulinde na maisha marefu ,Afya njema na Kazi njema pia ,nakupenda sana Rais wangu ,by Siwajali John ,nipo city college ,Dar es salaam ,kigambom ...
  • @
    @learnmathematics50376 years ago Hongera sana Mheshimiwa Rais na Serikali kwa kazi nzuri! 1
  • @
    @olaislukumay5716 years ago Sasa Tanzania inapaaa kwa kweli more ka 2020 tutaongea hadithi mpya ,Nafurahi kuwa Mtanzania,I'm so proud. 5
  • @
    @aleemaaleema32326 years ago Ongera raisi wangu kura yangu haikupotea😘😘😘😘 30
  • @
    @mrshila12606 years ago from oman wallah nimefurahi sana kuona tz tunakuwa kiuchumi😗😗😗😗😗😗😗😗😗rais magufur 27
  • @
    @hmondsimba52296 years ago Huyu ndie rais wetu hakika tunajivunia kuwa na rais muelewa na shupavu I love you rais wetu 4
  • @
    @mohamedalaraimi68136 years ago Hongera Tanzania
    Magufuli anafanya kazi nzuri sana
    28
  • @
    @ernestchacha19915 years ago Hongera sana jpm machozi ya furaha yamenitoka nikiwa Botswana Mimi ni mtanzania hongera sana
  • @
    @jacksonjapheth67185 years ago Kazi nzuri anayohifanya rahisi wetu ee Mungu mbariki
  • @
    @abinarisy10806 years ago Hongera Mh Raisi John Magufuri kwa hatua zenye maendeleo. 5
  • @
    @mohdyussah8256 years ago From UAE
    Kiukweli machozi ya furaha yamenitoka huku ugaibuni niliko hongera Rais John P Magufuli na hongereni watanzania wenzangu wote
    Nakupenda Rais wetu nakupenda nchi yangu Tanzania I'm proud to be Tanzanian ...
    79
  • @
    @nigelpanashegasela57766 years ago Congratulations airtanzania from Zimbabwe 1
  • @
    @williamsaid10806 years ago Kazi nzuri pongezi kwa raia wote walipa kodi👏👏👏👏👏 17
  • @
    @kennedylukwembe5776 years ago Hongera Rais Magufuli safi sana kwa kazi nzuri 12
  • @
    @abednego38766 years ago waleeeeer Wooooooooote wanaompinga uncle Magu..ni sawa na ma mbwa. 2
  • @
    @azizimuhibu77716 years ago This is Tanzania,,,,, jpm Allah akujaalie,,,sasa Tanzania naona uchumi una kuwa mkubwa,,,,naipenda tanzania yangu 2
  • @
    @prospermakela77916 years ago Jeshi la zimamoto na uokoaji hongereni Sana,mmerusha maji kwa ubora sana 6
  • @
    @petermasawe73706 years ago Iposku watakuelewa baba mwema hongera kwajuhudi 16
  • @
    @queenmushi62296 years ago Nakupenda sana Raisi Wang....mungu akupe miaka kama yote...hekima na busara mungu azid kukujalia ktk kuongoza taifa hili..
  • @
    @charlesphiliph5285 years ago Wavimbe wapasuke.Hongera baba Jesca unatisha,mambo ni mbele kwa mbele.kamilisha awamu hii kwa ndege 12.Hebu kwa aliyofanya apewe awamu nyingine 2 baada ya kumaliza hizi 2. 1
  • @
    @elminakalunga40306 years ago God bless Tanzania, bless our President, bless all of us! I love that 'smart animal - Giraffe' potraiting the pride of Tanzania National Parks! 3
  • @
    @modestamakoye931911 months ago Mungu akupe mwanga wa milele jpm kwa maoni yako hizi ndege ni nguvu zako hata wakufunike tunaelewa juhudi zako
  • @
    @immamifflin43766 years ago Hongera sana rais wetu Mungu akulinde...naipenda nchi naipenda Tanzania pia najivunia kuwa mtanzania
  • @
    @lawrenceleonard13696 years ago waooooooooh Air Tz......asante sana Mh.Magufuli kwa kazi zako... kumbe nasisi wa Tz tupo vizuri hahahah big up for us
  • @
    @happysoka20435 years ago AaaaAaaa mungu ibarki Tanzania ndoto znazd kutimia 1
  • @
    @Ben_Mullah5 years ago Kama kawaida yake kasha tufulaisha wa Tz hongera Sana kwa Mh Jpm 2
  • @
    @nicolausngoliga31546 years ago Dodoma
    hapa kazi Tuu, safi sana rais wetu mpendwa
    2
  • @
    @samirmana84836 years ago a president with principles congrat MR JOHn MAGuFUlI POMBE be blessed and stay safe alwayz ameen.GOOd job SIR
  • @
    @dicksondaviddavid49095 years ago Mungu ibariki Tanzania mbaliki na raisi wetu John pombe magufuri maana unayo yafanya yanatutia moyo wa Tanzania wanapenda.
  • @
    @lubangogabriel92926 years ago Nakupenda sana Raisi Wangu JOHN MAGUFULI, najivunia sana kupanda ndege ya watanzani maana na sisi imefika mahali tunaniliki chetu.
  • @
    @masoudochu77446 years ago Hongera sana Rais Magufuli mungu awe pamoja nawewe 1
  • @
    @mjunisadock96196 years ago Mh baba yetu Mzazi wetu Magufuri hongera saaanaa kwa mwendo Wa kutusogeza katika ulimwengu Wa perfect digital
  • @
    @ayubungao40286 years ago Congratulation our Lovely President Dr. John Pombe Magufuli. I real, appreciate you. 1
  • @
    @hajiissa92005 years ago nimmefulah sana kisa ambacho nilitoka machoz bila hata kujizuia .mungu ibarik tanzania ibarik africa .nampenda sana rais wangu
  • @
    @japhetjoseph17726 years ago Ukwel tumepata raisi hata mm na kubal uyu ndie ulikuwa sahihi kwel mungu sio mwanadamu akachagua kama wanadamu nimejiuliza 2015 nan alijua magu atakuwa rais . GOD blessing Tanzania ,rais ,viongoz wote, na wananchi wote
  • @
    @rugijofrey36856 years ago eheee kazi nzuri mnooo zikija nyingine kubwa kama hizi 3 ziwe tano tutapiga hatua ,Hongera tanzania
  • @
    @nawihadj66746 years ago anaepinga maendereo ya mheshimiwa ninani hyoo fara manina zake anepinga onyooshe kidore juu ajfnye anajikuna maku hyoooo# magu oyeee Allah akutangurie na atutangurie sote inshaa Allah 3
  • @
    @joisgidion9246 years ago From Algeria jpm yuko (gd)🛩️ I like it❤️ 1
  • @
    @kelvinikibona7423 years ago Nakupenda magu mpaka naumwaa nkumisi leo ungesema kitu Malia kwa uchungu umeicha inch iko pekeyakeee wote hawakujuwiiii ohooooooo tumbo kitu hatla
  • @
    @juliethmeltone91436 years ago Dah Mungu azidi kukusimamia kwa kila unachokifanya Rais Wetu Magufuli Mungu akubariki 5
  • @
    @najmashabby18406 years ago Yaani Machozi ya furaha yana toka Siami Uncle Magu Anatutoa ukiwa Maana tunaoishi nje ya Tanzania Huwa tuna nyanyaswa sana Na majirani zettu huwa wanatucheka eti nchi gani haina hata ndege Tukiwakatalia kusafiri na ndege zetu Hamuendi kwenu nyie. SASA WANAONA HATA AIBU SHUANI ZAO AIR TANZANIA FAHARI YA TANZANIA TWIGA HUYOOO MDOGO TUNASOGEA 😄😄😄 ... 70
  • @
    @mwaminifungo46656 years ago mungu akuongezee maono rais wetu walipakodi hayo ndo matunda yako hongera sana tanzania kwa mazuri mengi miaka 3 ya uongozi wako
  • @
    @gedionkalumbu19956 years ago Mwendo wa kobe wa taratibu humfikisha, usidhani njiani apitayo haina miiba, nyoka, mijusi na mengineyo. Jitie nguvu mzee najua baada ya muda wako tutakusifia tu 29
  • @
    @stephanominja6655 years ago Ee mwenyezi mungu,, viepushe vyombo vyaetu vya usafiri na ajali,, ili tusonge mbele zaidi.. aamin!!
  • @
    @IsaacJavan6 years ago Rais Magufuli, wenye hekima tunatambua mchango wako. Mungu akubariki sana. 5
  • @
    @wanjalajesse16946 years ago Hongera Tanzania,,, bila shaka mnakiongozi wakupigiwa mfano,,, sisi kama kenya tuna hofu ila tunaomba mungu
  • @
    @zinbormdan98136 years ago Ahsante mungu na sis tuachage kwend kufany kaz nchi za wenzetu magu angalia na hili
  • @
    @KubwaStudios6 years ago Ukweli baba Magufuli nimesikia raha sana umerudisha heshima ya Tanzania yetu Mungu azidi kukuongoza na kuwafanya maadui zako watii na uongozi wako
  • @
    @avitusmwesiga7456 years ago tumefika mbali kodizetu sasa zinaonekana asante mh Magufuli 1
  • @
    @richardbuhatwa19406 years ago Akisema kweli anatekeleza huyu ni rais wa mfano duniani 15
  • @
    @jafarimsaghaa956 years ago Kazi nzur sana, Rais wetu piga Kaz Mungu yunawe.
  • @
    @ramadhankibwana64256 years ago Mh-rais mungu akulinde wanafki washindwe na waregee uzalendo kwanza unafki tupa kule 25
  • @
    @maicostephanomayala49666 years ago Paspo sisi watanzania kutoa kod hatuwez kupata mafanikio
    Lakn kwa kueshim upoaj kod wetu haya ndo matunda yetu ya kod
    Tuseme nn kwa mung weng kutupa rais Kama huyu
    Hakka miaka Ming daima na uongoz mwema aamiinaa.😍
    ...
    8
  • @
    @dr_toyota.33716 years ago juhud hufany kitu kiwe,
    bigup saana anko magù
  • @
    @prosperphissoo82246 years ago Kweli Tanzania inakuwa nchi ya uchumi wa juu Mungu ibariki Tanzania 2
  • @
    @rahmahersi65844 years ago Mbona hii ndege
    Inaringa jamani.
    Hongera sana
    Rais Makufuli.
  • @
    @kisinzaemmanuel63186 years ago Nchi yangu iliyobarikiwa Tanzania tutafika tu kwa uwezo wa MUNGU 7
  • @
    @davidnjoroge84956 years ago Kenya 🇰🇪 tuko na Dreamliner.Nairobi to New york city 🌃.hongera uncle magu👌👌👌 2
  • @
    @festomatereka12116 years ago Ni vigumu kutambua dhamani na mchango wa mtu akiwa hai .
    Kiukweli mheshimiwa magufuri anajitahidi sana kusimamia mari za watanzania na kuzitumia kwa faida kubwa ya inchi .
    Hongera sana raisi Magufuli keep it up ..
    ...
  • @
    @peterjohn19696 years ago nakupenda sana raisi wangunimeshindwa kukaakimya nakupenda kwelikwli
  • @
    @lamecknjagwa11556 years ago Nampenda raisi john pombe magufuli kuliko maelezo,kazi anazofanya zinatufaa watanzania,najisikia vibaya sana mtu akimwongea vibaya,watanzania tuache wivu mtu anapofanya viziri,mtamkumbuka atakapoondoka madarakani,hiyu ndie raisi wa watanzania mzalendo ...
  • @
    @zumbeshauri81146 years ago halafu kweli tunakubaki kunamtu anamtukana raisi tumekaa kimya kama sikumuuwa kwa panga basi tumroge afe ili kumsaidia raisi wetu 30
  • @
    @DIweni6 years ago Ndege imeona minazi leo,fahar ya nchi yetu😁 2
  • @
    @nemomunuo57866 years ago rais wng mwenye uchungu na rasilimali za watanzania mungu akutie nguvu mheshimiwa magufuli
  • @
    @geraldfelician19516 years ago Taratibu tutafika Raisi wangu JPM, wapinzani waweza kosa kwa unayoyafanya ila kwa mapenzi ya Mungu tutafika. 2
  • @
    @paschalvenance18336 years ago Kwa kweli Raisi tumuombee kwa kazi kubwa anayofanya, hongera sana CCM chama changu 2020 wapinzani hawana chao.
  • @
    @latifamkulazi83785 years ago Sijawah penda rais lakini kwa magufuli aongoze miakayote nimemuelewa mungu amlinde rais wetu endelee kutuongozavyema