Duration 2:39

WASICHANA 3000 WA MIAKA 10 HADI 19 WAPATA MIMBA IRINGA

1 292 watched
0
8
Published 28 Dec 2021

Zaidi ya wasichana 3000 wenye umri wa kati ya miaka 10 mpaka 19 Mkoani Iringa kwenye kipindi cha mwezi wa January mpaka Oktoba mwaka 2021 wameripotiwa kuwa na mimba katika umri mdogo changamoto ambayo imekuwa ikiongeza mzigo wa malezi kwa mabinti hao. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa ajenda ya Kitaifa kwa Vijana kwenye maendeleo na Afya, Gerald Kiwhele Mratibu wa Kitaifa Masuala ya Afya ya Uzazi na Jinsia kutoka Wizara ya Afya anasema changamoto ya mimba katika umri mdogo mkoani Iringa ni kubwa hali inayoilazimu serikali kwa kushirikiana na wadau kuja na suluhu ya kukabiliana na changamoto hiyo. Victor Mwaipungu kutoka Shirika la SOS Mkoani Iringa anasema katika kata 19 kati ya 106 za mkoa wa Iringa kumegundulika kuwa na tatizo kubwa la mimba za utotoni. WASICHANA 3000 WA MIAKA 10 HADI 19 WAPATA MIMBA IRINGA WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

Category

Show more

Comments - 2