Duration 11:56

DUH ASKARI WAKATAA RUSHWA YA MILIONI 30, WATINGA BAHARINI USIKU MNENE, RPC ASIMULIA A-Z

99 329 watched
0
423
Published 5 Oct 2020

DUH! ASKARI WAKATAA RUSHWA YA MILIONI 30, WATINGA BAHARINI USIKU MNENE, RPC ASIMULIA A-Z... JESHI la polisi katika mkoa wa kipolisi Temeke, limefanikiwa kulikamata jahazi lililoingia kinyume na sheria likiwa ndani ya bahari likifanya kazi ya kupakua mizigo ya marobota ya nguo... Kamanda wa polisi mkoa wa Temeke, Amon Kakwale, ameelezea tukio hilo ambapo baada ya jahazi hilo kukamatwa wamiliki wakatoa pesa kiasi cha shilingi milioni 30 kwa ajili ya kuwahonga polisi ambao walikataa pesa hizo... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 248