Mahitaji:
Kipimo cha watu 6
Mchele wa Basmati kikombe 1 na ½ ( kosha , roweka kiasi dakika 20 )
* Kwa kila kikombe 1, tumia maji kikombe 1 na ½ au kutegemea na maelezo ya mchele .
Kitunguu cheupe au manjano cha kiasi ½ (1/3 kikombe)
Vikombe 2 carrots zilo sagwa kwa randa
Vikombe 2 na robo ¼ (maji, au supu ya kuku au ya mboga )
Vijiko 2 vidogo chumvi
Kijiti 1 cha mdalasini (kama utapenda)
Star anise 1 (kama utapenda)
Vijiko 2 vikubwa Samli , au siagi
Zafarani kidogo (kama utapenda)