Duration 1:41:19

RAIS MAGUFULI ALIVYOPOKEA RIPOTI YA CAG NA TAKUKURU LEO IKULU DODOMA..

37 366 watched
0
127
Published 26 Mar 2020

RAIS MAGUFULI ALIVYOPOKEA RIPOTI YA CAG NA TAKUKURU LEO IKULU DODOMA.. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Leo Machi 26, amekabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2018/2019 iliyowasilishwa na Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere... Aidha Mhe. Rais amepokea Ripoti ya taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ya mwaka 2018/2019 itakayowasilishwa na Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Taasisi hiyo Brigedia Jenerali John Mbungo . Hafla hiyo inayofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) Email: globaltvbest@gmail.com abbymrisho@gmail.com HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 39