Duration 4:30

IGP SIRRO: KINONDONI YAONGOZA KWA UHALIFU

165 watched
0
1
Published 26 May 2021

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ameutaja Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni kama kinara wa uhalifu nchini ambapo matukio ya uporaji, uvunjaji wa kutumia nguvu na uporaji kwa kutumia pikipiki yakiwa yameongezeka huku uhalifu mwingine mkubwa wa kutumia silaha za moto ukiwa umeshuka.

Category

Show more

Comments - 0