Duration 8:34

AMOS MAKALLA: RC MPYA wa DSM, ALIYETUMBULIWA na JPM, RAIS SAMIA AKAMTEUA TENA

6 394 watched
0
14
Published 19 May 2021

AMOS MAKALLA: RC MPYA wa DSM, ALIYETUMBULIWA na JPM, RAIS SAMIA AKAMTEUA TENA... HII ni makala fupi inayomuelezea Mkuu wa mkoa mpya wa Dar, Amos Makalla, aliyeteuliwa na Rais Samia Suluhu na kula kiapo rasmi leo Mei 19.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 23
  • @
    @dicksonchauganga53253 years ago Laiti km mtu anajua ck yake yakufa! Magufuli asingeteua huyu mama kuwa msaidiz wake. 11
  • @
    @dicksonchauganga53253 years ago Na hilo barakoa lake ni wazi huyu ameshatauuza! Anatengeneza ngome yakena uupuzi wake. Sababu mtu mwenye akili zake nakujitambua kukubaliana na mwenendo wa hyu mama! Nilitarajia ataanza kwa speed yakufuatilia miradi mikubwa aliyoicha jpm, kumbe hata habar hana yeye ana kazi yakuvuruga serkali kila uchao. Naamini ck zinahesabika hata hao wanaomsaport kwa ujinga huu watamgeuka. ...Expand 6
  • @
    @hamedamahamd12223 years ago Kwakweri huyu mama mie sina imani nae toka aripo apishwa sijawahi muamini. 5
  • @
    @enockkagomba12613 years ago Afu alisha wahi kuwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro mbona hujasema? 2
  • @
    @jumashedafa3 years ago Huu uongoz hamn kitu hiz ni njia za ulaj tu yan hatuwez badil viongoz kila ck abadilishwe akiw kwel ana matatiz. Cjui ila tanzania yang inaend kuzim. Sijui tutarud na roho zetu. Mungu ndiy mjuz. 1
  • @
    @salmaomari19883 years ago Tunakukumbuka sana raisi wetu lala salama sijui wapi tutafikishwa mwaka huu hata miezi sita yaani nusu mwaka hujamaliza mioyo inakosa matumaini na ulio waacha, wote wamekusaliti na walio staafu kila dk tunawaona mtandaoni. 1
  • @
    @dorothymutegeki75433 years ago Kumbe tumeletewa jambazi mkoa wa dar kikwete family. 1
  • @
    @gasirigwaaloyce87393 years ago Kana huyu mama siwafunge ndoa na kikwete mbona wote waislam. 2
  • @
    @beaugosseadam68313 years ago Huyu alipokua mbeya, mbeya ilikua hovyo na vurugu kila siku. Hawa ni maswahiba wa mzee wa msoga. Wote havyo kiuongozi! 1
  • @
    @africanbeauty65563 years ago Mungu anapanga yote kwetu sisi wana damu. Mimi naona hata huyu paul makonda mungu amemwandaa vyakutosha sasa ni wakati wa kupokea baraka zake huyu kijana . ...Expand
  • @
    @RashidAli-mm1uo3 years ago Asahaekufa ameshakufa aliekuwa haridhiki na maamuzi ya mungu ajiue akamfate kaburini mwenzake anaongoza malaika huko.
  • @
    @mbangeboy12143 years ago Dunia simama nishuke tutaona mengisana mwakahuu mpaka tukimaliza miaka minne bac tutakua tuko hoi. 2
  • @
    @sememakolo93603 years ago Huyu rais anaamini balakoa kuliko mungu, halafu walio shindikana ndio anawaludisha.