Duration 12:18

HADITHI: Akili na marafiki wanajifunza michezo | Jifunze Kiingereza | Katuni za Elimu kwa Watoto

42 876 watched
0
0
Published 24 Jul 2021

Kwa kutumia vitu vinavyowazunguka, Akili na rafiki zake wanajifunza kucheza na kujifunza. Kuangalia video zaidi za hadithi za akili na marafiki, bonyeza hapa: /watch/CNp3Pgz5pOIW7hN_32w82qDb3HxbMuYoLP=tsil&8m3vA4N7Ql873 Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu ambapo watoto wa miaka 3-6 watafurahia kuungana na Akili! Watajifunza namba, herufi, kuchora na Kiingereza! Subscribe kwenye channel hii kupata video bure za kujifurahisha kila wiki kutoka kwa Akili and Me! Edutainment iliyotengenezwa Afrika, kwa Afrika. /c/AkiliKiswahili/featured Angalia "Akili and Me": https://www.ubongo.org/shows/showtimes/ http://www.akiliandme.com http://www.facebook.com/akiliandme Akili and Me ni kipindi cha elimu burudani kinachotengenezwa na Ubongo Media. https://www.ubongo.org Imewezeshwa na Human Development Innovation Fund, funded by UKAid. #SwahiliAlphabet #Elimu #AkiliandMe

Category

Show more

Comments - 0