@kenicemkaka28244 years agoHuyu mzee nihatari akishazungumza jambo lazima liwe kashatangaza swala la umeme vijiji vyote vya tanzania tumpe kura zandiyo cyo zakuchaguliwa zandiyo maana akisema jambo lazima liwe umeme vijiji vyote vya tanzania 10
@
@ramadhanathuman9404 years agoMwigulu wewe ni snich lisu alipigwa risasi ukiwa waziri tena msingida mwenzio ukakaa kimya tu kata kona wewe 1
@
@denismassawe92554 years agoDuuuh!!! Magufuli subiri kura zako tuu Mzee wetu
@
@samwelsimon92784 years agoMlikuwa mnatowa msahada au nikodi za wananchi hiyo silazima mbona amsemi mlikusanya kiasigani miaka 5 wakati kodi ziliongezeka zahidi awamu hii
@
@victoreliau63744 years agoManeno mwigulu anaongea Ila watu hawashangilii
@
@goodlucksemba11454 years agoAlikuwa anatoa hizo pesa za kwake binafsi au kodi zetu sisi watanzania wote?
@
@saidabdul36954 years agomilioni 50 za kila kijiji ziko wapi waongo nyinyi na huyo magufuli anaangalia tumbo lake 1
@
@hktztv65194 years agoMsafara mzito wa rais Magufuli singida CCM 👇👇👇👇
@
@josephjohn21144 years agoKama amechukua advance siuende PCCB..? Mwigulu ulikuwa waziri wa mambo ya ndani wakati lissu anashambuliwa wasiojulikana uliwashika..?Tukisema unahusika utabisha..? Watanzania wa sasa sio wajinga tena acha siasa za uongo maana unajizaraulisha tu bora uongee fact watu watakuona wa maana. ...
@
@danielwanchage87344 years agoAcha kuongea kama mtu ambaye hakwenda shule... Ati advance wameishachukuwa!, Kwan Magufuli Sasa atakuwa raisi mika yote?? Acha ufala wewe!!! 1
Related videos for MANENO YA DK MWIGULU NCHEMBA MBELE YA JPM LEO:
👇👇👇👇
Ati advance wameishachukuwa!,
Kwan Magufuli Sasa atakuwa raisi mika yote?? Acha ufala wewe!!! 1