Duration 3:00

PROF MKENDA KUMSIMAMISHA KAZI MRAJIS MSAIDIZI

78 watched
0
0
Published 13 May 2021

WAZIRI wa Kilimo Prf.Adolf Mkenda amemwagiza Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika nchini Dkt Benson Ndiege kumsimamisha kazi Mrajis Msaidizi wa Vyama Vya Ushirika Mkoa wa Lindi Edmund Masawe kutokana na kukilazimisha Chama cha Ushirika wa mazao (AMCOS) cha Umoja kilichopo Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi kukodi ghala binafsi kwa ajili ya kuhifadhia Korosho wakati chama hicho kina ghala lake la kuhifadhia korosho. USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU ILI UWE UNAPATA UPDATE MPYA KILA TUNAPO WEKA HABARI MPYA WAKATI WOWOTE BONYEZA HAPA CHINI KWENYE MAANDISHI YA BLUU /channel/UCcCo ... https://www.instagram.com/kahamatvonline/ #KAHAMATVONLINE #HABARIZAHIVIPUNDE

Category

Show more

Comments - 0