Duration 3:00

ZITTO KABWE AMUOMBEA MBOWE MSAMAHA,KWA RAIS SAMIA ILI KULETA MUAFAKA WA TAIFA.

192 watched
0
0
Published 15 Dec 2021

Katika Mkutano wa Wadau wa kujadili hali ya Demokrasia ya Vyama vyingi nchini Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amemuomba Rais Samia kwa kufuata sheria awezeshe Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aachiwe huru kwa nia ya kuleta muafaka wa kitaifa.

Category

Show more

Comments - 0