Duration 21:7

MPAKA NYUMBANI KWA WEMA SEPETU HII NDIO NYUMBA HALISI ANAYOISHI KIJICHI UKICHANA ILIYO TREND MTANDAO

257 455 watched
0
1.2 K
Published 1 Mar 2021

Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV Na kulike facebook page Bongo trendy online #wasafi,#diamond platnumz,alikiba,#harmonize,#ushamba,#nandyftalikiba,#nibakishie,#Wasafitvlive,#instalive,#Youtubelive,#Mboso,#lavalava,#zuchu,#koffieolomide,#diamond&kofiiolomide,#waah!,#waah!challenge #lavalava,kwaru,wcb,raha,#alikiba,yope,#rayvanny,#diamond,#bachela,#gere,#kwangwaru,#aslay,#missbuza,#thestorybook,#nanusu,#tetema,#nandy,#rayvanny,#lavalava,#hakuna kulala,#wasafi,#marioo,#live,#whozu,bedroom,#zuchu,mama,ashua,tamba,corona,harmonize,#afro east,#linawachoma,#chadema,#rostam,#dodo,#diamond platnumz,#mbowe,wana,mauzauza,#cheche,#amaboko,#zuchu,#uchaguzimkuu2020,#trending,magufuli,#wasafitvlive,nisamehe,#harminze,alikiba,#tundulisu,#nandy,jeje,#ccmlive,#yoperemix #wasafi#,diamond,#sikomi,#niache,#mbosso,#kwangwaru,#rayvanny,#lavalava,#diamondplatnumz,#eneka,#waka,#hallelujah,#nana,#kidogo,#fire,#kamwambie,#harmonize,#makulusa,#baila,#pamela,#iyena,#baikoko,#nikuone,#sijaona,tetema,niteke,#niuwe,#simba,#jeje,#gere,#kanyaga, Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV Na kulike facebook page Bongo trendy online #wasafi,#diamond platnumz,alikiba,#harmonize,#ushamba,#nandyftalikiba,#nibakishie,#Wasafitvlive,#instalive,#Youtubelive,#Mboso,#lavalava,#zuchu,#koffieolomide,#diamond&kofiiolomide,#waah!,#waah!challenge #lavalava,kwaru,wcb,raha,#alikiba,yope,#rayvanny,#diamond,#bachela,#gere,#kwangwaru,#aslay,#missbuza,#thestorybook,#nanusu,#tetema,#nandy,#rayvanny,#lavalava,#hakuna kulala,#wasafi,#marioo,#live,#whozu,bedroom,#zuchu,mama,ashua,tamba,corona,harmonizplatnumz,#mbowe,wana,mauzauza,#cheche,#amaboko,#zuchu,#uchaguzimkuu2020,#trending,magufuli,#wasafitvlive,nisamehe,#harminze,alikiba,#tundulisu,#nandy,jeje,#ccmlive,#yoperemix #wasafi#,diamond,#sikomi,#niache,#mbosso,#kwangwaru,#rayvanny,#lavalava,#diamondplatnumz,#eneka,#waka,#hallelujah,#nana,#kidogo,#fire,#kamwambie,#harmonize remix,#tanzania,#tutorial,#tumewas #hakunakulala,#raha,#nisamehe,#bedroom, #yopeyoperemix,#kwangwaru,#afroeast,#wcb,#tamba,#nandy,#aslay, #nanusu,#mama,#corona,#lavalava,#harmonize,#wasafi, #thestorybook,#rayvanny,#tetema,#zuchu,#mauzauza,#ashua,#amaboko #sukari,#waah,#hasara,#nobody,#wizkid,#davido,#burnaboy #diamondplatnumz,#wana,#kwaru,buza#,jeje,#gere,#baclava,#harmonize,#wasafi, #thestory book,#rayvanny,#tetema,#zuchu,#mauzauza,#ashua,#amaboko,#sukari,#waah#,hasara, #wananchiday2020,#wananchi,#yanga,#youngafricans,#yangasc, #antonionugaz #yangaleo,#senzo,#alichokisemanugaz,#kambiyayangakigamboninibalaa,#mshindomsola,#wapesalamu,#shutikalitv,#simba,#azamtv,#azamtvmax, #azamsports,#morrison,#hajimanara,#diamondplatnumz,#simbasc, #manara,#wasafi,#globaltvonline,#barakampenja,#tuisilakisinda, #ligikuu,#azamtv,#michezo,#highlights,#azamsportshd,#azamsports2, #yanga,#sportarenawasafitv,#sportarena,#tanzanianews,#wasafitv #diamondplatnumz,#wana,#kwaru,#hakunakulala,#raha,#nisamehe, #bedroom,#missbuza,j#eje,#gere,#bachela,#dodo,#alikiba,#diamond, #yope,#yoperemix,#kwangwaru,#afroeast,#wcb,#tamba,#nandy,#aslay, #nanusu,#mama,#corona,#lavalava,#harmonize,#wasafi,#thestorybook ,#rayvanny,#tetema,#zuchu,#mauzauza,#ashua,#amaboko,#sukari,#shusa #wasafi,#diamond,#sikomi,#niache,#mbosso,#kwangwaru,#rayvanny,#lavalava,#diamondplatnumz,#eneka,#waka,#hallelujah,#nana,#kidogo,#fire, #kamwambie,#harmonize,#makulusa,#baila,#pamela,#iyena,#baikoko, #nikuone,#sijaona,#tetema,#kainama,#niteke,#tamu,#niuwe,#simba,#jeje,#gere,#kanyaga,#sound,#wizkid,#davido,#burnahboy,#chrisbrown, #despacito,#inama,#sukari,#shusha #harmonize,#uno,#ibraah,#corona,#covid19,#kondegang, #kondemusicworldwide,#diamondplatnumz, #wcbwasafi,#rayvanny,#mbosso,#zuchu,#lavalava,#halifa,#snopdoog, #davido,african music,#afroeast,#eastafricansound,#afropop, #bedroom,#kakatuchat,#sautisoul,#khaligraphjones,#nyanshisk, #yemialade,#magufuli,#tiwasavage,#rema,#fire #boy,#joeboy,#skiibii,#gwajima,#joti,#cnn,#mpoki,#salimkikeke,#darasa, #bongomovie,#netflix,#samatta,#quarantine,#onenight,#lockdown #swahiliflix #ikulumawasiliano #magufuliliveikulu #chatolive #youtubelive #instalive #jux #ladyjaydee #rostam #stamina #dogojanja #jumalokole #drkumbukauhondo #didashaibu #mashamsham #zarithebosslady #tanashadona #mamadangote #esmaplatnumz #queendareen #uchebe #shilolenarommy #babalevo #wolper #kajalanaharmonize #auntezekiel #kusah #wasafitvlive #simulizinasauti #Ayotv #rickmediatz #dizimonilne #aristote #hamisamobeto #tiffa #koffieolomidenanandy #waa! #diamondnakoffieolomide #papamopao #mwananchidigital #Edigital #middlesimba #ptvtanzania #rayvannysoundofafrica

Category

Show more

Comments - 356
  • @
    @mussachief10243 years ago Upuzi huo kwan kuwa staa ndio lazima kutoka kwenda kusalimia majiran majumbani kwao khaa tuwe na akili kila mtu ana life style alojichagulia akiwakuta . ...Expand 3
  • @
    @aminaomary55672 years ago Ongera sana madam wema kuwa na nyumba, maanake si kazi ndogo kuwa na mjengo. 1
  • @
    @twiseghekisilu88453 years ago Nyumba nzuri hali ya hewa nzuri halafu kijichi kwa kishua sana tatizo watu mmekalili! 8
  • @
    @dechaggagirl16143 years ago Mbona pazur tuu ila wabongo jmn mmh as long as waenjoy life yako ishi mama wema love uu. 15
  • @
    @lilymashleely82853 years ago Kwa ivo its a good place ivo unatetemeka au vipi. 1
  • @
    @jackyluns82243 years ago Mnanikera mnataka mtu aishi kwenye nyumba ya silver ama? Kwan wema si binadam kama sisi tu kama uani anaenda kama kawa tatizo mnamfatilia sana maisha yake. 2
  • @
    @hatamimnimempendabulejaman15963 years ago Ndio hata mimi nilikuwa nasemaga merry jina zur. 3
  • @
    @kennethngoleka5173 years ago Hongera wema, waandishi wa habari wengi wenu hamna nyumba mnapanga tu mbona hamtuoneshi nyumba zenu? 1
  • @
    @rithersospeterkati23032 years ago Ni kweli kabisa kila kitu ni mungu jehova.
  • @
    @selemansalehe22693 years ago Daah mwanangu unekela sas unalemba saut mpk tumekugundua punguz ushamba bro me sewez ata kuangalia mpk mwisho. 1
  • @
    @salwasuleiman35253 years ago Nyumba nzur maa shaa allah muhimu ni kuridhika na maisha yake yye mwenyewe. 2
  • @
    @mervaanael87703 years ago Wema naku penda sana mie nimu swahili nakaa kongo.
  • @
    @credo78373 years ago Nilitak kuangalia mb zangu zingeenda bure bora nimepitia koment kwanza. 8
  • @
    @tafutenimalembu88583 years ago Ovyoo hapo mm ndiyo naishi sio kwa wema pumbavu zako unatutangazia vila hata uwakika.
  • @
    @ruthmaduhu87413 years ago Mmm jamani kwani mlitaka akae mbinguni au.
  • @
    @bashiruhassan73103 years ago Asa ww mbn unauliza watu baada ya kugonga mlango acha kusumbua watu na kz zao. 3
  • @
    @nasradaudi12703 years ago Ivi jamani lini wem atafanyakit akasifiwa mbona binadam munaloho mbaya achane unafik muacheni jamani ashi kwa aman.
  • @
    @lkshmykomar54723 years ago Mtangazaj unafanya ncheke ety shemeg anapenda vle alivo km anampenda naona anazeeka ndowa haijuw anafunuliwa 2 akiwachwa. 1
  • @
    @jayjay43133 years ago Si buza huko nilijua mbagala ulaya marekani ndogo. Watu badala mfuatilie maisha yenu.
  • @
    @hatamimnimempendabulejaman15963 years ago Bola wee unasifia lakin nashangaa watangazaj wengine walikuwa wanapaponda sijui walichukuwa nyumba nyingine ile hata ile ilikuwa nzur. 6
  • @
    @khadijahomankweliyamjahaya74213 years ago Sasa watu wanashaanga nn wakati huko ni ushuani watu wamejenga mijengo ya maan na hewa safi.
  • @
    @naomijohn67593 years ago Umbea kaz kwani cha ajabu nini mbona mnawafanya wasanii waishi na wasiwasi jmhn mh cpend sana tabia zenu.
  • @
    @robenapomola23953 years ago Nyumba inayotrend na inayo onekana tofaut. 1
  • @
    @mwarishmodsalum5553 years ago Mbona hugongi mlango mbwembwe nyingi umeishia nje ya gat lol uoni haya acha umbea usio na faida wema mtu kama watu wengine muache umbea ovyooo. 1
  • @
    @alhasannusair72253 years ago Mtangazaji ovyoo mbona usiseme ya kwako unapoishi ata aishi shimoni yakuhusu nn. 3
  • @
    @hatamimnimempendabulejaman15963 years ago Eti walisema amefulia nawakat mwenzao bado ana hela ni maamuz tu. 8
  • @
    @maryjosephat28853 years ago Haikuwa rahisi kufika yeye anafikaje? Shuu.
  • @
    @hatamimnimempendabulejaman15963 years ago Hata sisi mbona tulikuwa tunakaa nawo karibu wasanii. Paka kina dokta cheni tulikuwa tunakaa nawo kalibu na anatujuwa. Kawaida watu tumesoma paka na masupa star kuna woya na wengine.
  • @
    @judithgeorge17563 years ago Wewe mtangazaji ni mmbea sana acha unafiki. 3
  • @
    @asaaomar43153 years ago Kama ninyumba yake kajenga hongera zake maisha popote. 14
  • @
    @eddydauson75253 years ago Mtangazaji ulitaka wema aishi angani au? Wanaoishi mbagala ni wanadam pia na wema ni mwanadam ni kawaida kbs.
  • @
    @wardadodo38483 years ago Ivinyinyi waandishi niwambea sana wenyewe atakibanda awana wengiwao.
  • @
    @cheiknamouna20583 years ago Sasa yule aliyeposti kajumba kake alikuwa anateseka akiwa sehemu gani mwite nae aje mwonyeshee ili mteseke wote ila huyo mama msusi kakutoshea majibu yake.
  • @
    @sophiamfikwa73403 years ago Huyu mtangazaji mpyaa au maana mh anamashauzi. 1
  • @
    @novakauki55603 years ago Et unajisikiaje unapoishi na wema kwani amekua mungu mnamwa kweli nimbuzi kama mbuzi walivyo wengine.
  • @
    @linetmokua66043 years ago Wema lakini uko poa wewe ni mpole sana i u. 1
  • @
    @arefali23123 years ago Mwacheni sweetheart aishi anapotak ni maamuzi yake. 8
  • @
    @user-ij5ig4uu1y3 years ago Kwake kajenga au kapanga ila celebrities maisha yao haieleki.
  • @
    @hatamimnimempendabulejaman15963 years ago Ndio wema kashafanya makubwa ukikumbuka mambo ya white maria.
  • @
    @hatamimnimempendabulejaman15963 years ago Kuna kigoda tangu sisi wadogo cha miaka mingi.
  • @
    @hatamimnimempendabulejaman15963 years ago Mh uyo mtangazaj mbona kama sura yake sio ngeni au nilimuona akioj watu. 1
  • @
    @muhammadkifakara25733 years ago Hivi vitv chanel vingine vya mapimbi bwana, sasa nyumba ulioonyesha iko wapi, unatuonyesha geti.
  • @
    @munaahmed84993 years ago Ingia tuone ndani kwake sasa hashuo tele.
  • @
    @priscaaugustino19193 years ago Mutu anaishi popote anapohitaji kuishii so msimujadi sana mdada wa watu.
  • @
    @swahibamnene58473 years ago Ongea na maneno mengi xanaa unachoshaa.