Duration 16:22

ELON MUSK: ANA AKILI KUTOKA SAYARI Nyingine/ AWEKA REKODI MAREKANI KWA KUPELEKA CHOMBO ANGA ZA JUU

99 193 watched
0
799
Published 15 Jul 2020

ELON MUSK: ANA AKILI KUTOKA SAYARI Nyingine/ AWEKA REKODI MAREKANI KWA KUPELEKA CHOMBO ANGA ZA JUU Alipozaliwa Juni 28, 1971 kutoka kwa baba yake, Errol Musk, mhandisi na tajiri mkubwa kwa wakati huo, raia wa Afrika Kusini na mama Maye Musk, mwanamitindo mwenye asili ya Canada, alipewa jina la Elon Reev Musk FSR. Katika umri wake wa utoto, inaelezwa kwamba Musk alikuwa akipenda kucheza peke yake, akiwa kimya kabisa kiasi kwamba kuna wakati wazazi wake walihisi kwamba pengine alikuwa na matatizo ya kusikia, akapelekwa kwa daktari kufanyiwa uchunguzi lakini hakubainika kuwa na tatizo lolote. Alipofikisha umri wa miaka 10, wazazi wake walipeana talaka, akachukuliwa na mama yake na kwenda nchini Canada, maisha yakaendelea. Ni katika kipindi hicho, alianza kuonesha mapenzi makubwa kwenye elimu ya kompyuta, akawa anajifunza mwenyewe mambo mbalimbali ikiwemo programming na alipofikisha umri wa miaka 12, tayari alikuwa na uwezo wa kutengeneza program mbalimbali za kompyuta. Baada ya kuhitimu katika Chuo Kikuu cha Pennsylvania, alijiunga na Chuo Kikuu cha Stanford, nacho cha Marekani lakini baadaye aliamua kuachana na masomo ya chuo! Ndiyo, aliamua kukacha masomo ili atimize ndoto kubwa zaidi maishani mwake. Ameelezwa kuwa na akili za ajabu kama binadamu atokaye Sayari nyingine.....aweka rekodi Marekani ya kufanikisha Marekani mwaka huu kurusha roketi kwenda anga za juu kutokea ardhi ya Marekani... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 74