Duration 3:30

MRISHO GAMBO NAYE NDANI KUWANIA UBUNGE ARUSHA MJINI

2 683 watched
0
12
Published 14 Jul 2020

Wanachama 43 wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Jimbo la Arusha Mjini wamejitokeza kuchukua fomu kuomba ridhaa ya chama kiwapitishe kuwania ubunge jimbo hilo. Aliyekua mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo aliyeambatana na familia yake mara baada ya kuchukua fomu alisema amesukumwa na maendeleo makubwa yaliyofanya na serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli.

Category

Show more

Comments - 6