karibu katika mapishi na Amanda, leo tunapika vitumbua laini vya mchele
mahitaji
mchele robo kilo uliolowekwa usiku mzima
sukari vijiko 3 vya chakula
hamira nusu pakiti
iriki
coconut cream/tui la Nazi zito
kama ni mara yako ya kwanza kwenye channel hii basi usisahau kusubscribe, kulike na kuacha comment yako hapo chini, asante.