Duration 45:10

Lawama Part 1 - Madebe Lidai & Aunt Ezekiel (Official Bongo Movie)

464 319 watched
0
1.8 K
Published 27 Oct 2018

#africhamovies #africhaentertainment #madebelidai Lawama by Madebe Lidai & Aunt Ezekiel (Full Bongo Movie) Watch Part 2 Here: /watch/kq6Frca1GoO1F Cast: Mussa Kiroho, Ant Ezekiel, Aunt Ezekiel, Madebe Lidai, Rayuu Vijicho, Sam Wakipemba, Hidaya Boli, Keyto Kae, Yasini Ngokwe Camera; PX One & Qras Editor: Madebe Lidai Director: PX One Subscribe to Africa Movies on YouTube here: http://bit.ly/AfrichaMoviesSubs Bongo Movies, Tanzania Movies, African Movies, Movie, Comedy, Bongo Comedy, comedy, film #MadebeLidai

Category

Show more

Comments - 234
  • @
    @zulachama10672 years ago Alhamdhililai 2022 january bado nafuraia filamu nzuri sana yakuvutia # LAWAMA.watching from mombasa kenya. WAPI LIKE ZA LAWAMA TUJUANE HAPA. 5
  • @
    @yasmeenaal41913 years ago Dada jicho lako kisha upo vizur sana , madebe sina cha kusema kalamu haiyandiki tena juu yako ,dua kwenu🤲🤲🤲🤲🙏🙏🥰🥰 3
  • @
    @mohamedsurur27266 years ago kikosi chako kizuri sana unacho shirikiana katika movies zako na pia movie zako zina elimu sana zina elimisha jamii na zina madili mema Hongera Madebe ... 26
  • @
    @johnsonmaarifa35825 years ago Madebe ww ni fundi nakukubali sana kaka mungu akumbaliki sana uzidi kufika mbali na uzidi kuleta mambo mazuri √√√√.™ 11
  • @
    @ashritaabdallah64745 years ago Nakuangalia vyema sana madebe nipo zenji mungu akufanyie wepesi 3
  • @
    @hoseakayubu52206 years ago Muigizaji mwenye ushawishi Tanzania kwa kizazi hiki. Mungu akuongoze ufike mbali #🇹🇿Inakuhitaji sana 13
  • @
    @ashritaabdallah64745 years ago Na haya mazingira ya vijijini raha sana madebe hongera sana 2
  • @
    @muddywatown5 years ago nampenda sana huyo dada namacho yake anaweza sana kuigiza.! 20
  • @
    @dannielbosco21776 years ago Madlidai super acter in tanzania you are the one only brother 20
  • @
    @winifridashoo4105 years ago Nmefurah kukuona kiroho safi and sam kip it up mmefanya aisee 1
  • @
    @saudatatizonyota21015 years ago Asma Hilo jitho mashallah unamacho mazuri 14
  • @
    @zamamuuhamisi66546 years ago Napenda sana kuigiza katika kikundi chako naomba nafasi kaka madebe lidai 6
  • @
    @maryammakungu88006 years ago hongera kaka umeshirikiana na wazanzibar 13
  • @
    @kibeginiblue71883 years ago Uyo mpenzi wa madebe Kama kasoma Kent sec
  • @
    @mimahassan75356 years ago Nawapenda wote mnashiriki katika move za madebe mko juu move nzuri sana 8
  • @
    @sadickjuma15944 years ago Madebe na maisara cha ngoma ninawapenda, haswa sana mfalme wa misemo madesh Lidash 1
  • @
    @lemameasi50256 years ago kweli madebe unajitaidi movie zako zina ujumbe wa kutosho 4
  • @
    @hassanomar73754 years ago Madebe kiboko wa misemo nakutambua sna bonngoooo
  • @
    @christernanjala96716 years ago Napenda movie sa Madebe...keep going bro 24
  • @
    @mohamedsurur27266 years ago madebe ushauri wangu kwako ukisikia wazazi wako wana kuambia soma elimika juwa wazazi hawana urithi wa kukupatia juwa hili elewa hili Madebe 13
  • @
    @joshuabaya78503 years ago Keep it up movie zenu na zinamfunzo na burudan ndan kw ndan
  • @
    @swalhathhamidu97255 years ago Raabi akufkishie kheri ktk safari yko yskuigizs nice madebe
  • @
    @rajabulipongo41146 years ago Hujawahi kuniangusha madebe safi sana jamani eee asiefanya kazi au kujituma asile 1
  • @
    @marymahimbo23616 years ago hongera bro mungu akupiganie katika kaz zako 4
  • @
    @hawahhamis8324 years ago Masha Allah daa Maisara unapendeza...ama kwl black is beaut usijiharibu na mikorogo 2
  • @
    @RamazaniMulongeca5 years ago @ hahaha, kaoga kichwani au Katupia maji😂😂😂😂 7
  • @
    @lusatech97343 years ago Full charge eeenh bwana ww ni fundi unatugusa kwakwel mule namalizia kusema kutoka jasho ni bora zaidi kuliko kutoka out yani ni full charge 1
  • @
    @fatumaselfu19946 years ago Jaman watu wengne bhana eti mtu anathubutu kutamka kuwa ampendi madebe sas kama move ujaipenda ni kitu kidogo tu kuacha kuangalia 28
  • @
    @mwanahalimamwachili96796 years ago Shukran sana kwa picha poa yenye mafunzo. 2
  • @
    @dulnuhu60135 years ago Madebe safi sana kaka nimeikubar sana falam hii. 1
  • @
    @youngkillermsodoki76646 years ago *Madebe kaanza kushirikiana na kinA mwisho wa siku mtaskia kashirikianA na na wengineo* ... 37
  • @
    @adventinakiyonga21945 years ago Dah bro madebe siku 1 ntakutafa nakubal xana mamb ako
  • @
    @salmarashid34924 years ago Mfalme wa misemo,, lidash
  • @
    @davidphares53165 years ago ila tuache maskhara maisala mzuri jamani 10
  • @
    @mohdmahmoud44775 years ago Madebe pongezi kubwa sana kwako ila naomba siku moja ucheze seen ya mjini nione unachezaje
  • @
    @omarmhmammed2163 years ago Film zetu hatuhitaji magar majuma yakifahar na mavazi ya kileo ...kwetu kijijn na vibanda vyetu hata kutembea ni kupiga kwata tu ....maisha yanasonga.....
  • @
    @nasrakyoma69645 years ago Nadepe nichukue namm napenda sana kuigiza na kipaji ninacho
  • @
    @mwanamisaomar3466 years ago Mmeirudia tena hii ..movie ..tupe mpya madebe.. 3
  • @
    @nadinehamis25905 years ago Hahahaah jmn ety cjui binadam Wa toleo langapi hahhahahhaahh asma kiboko 1
  • @
    @juxfurniture42976 years ago mwana wa lidari..Una tixha kka angu...uko juu una jua mpaka Kero.... 2
  • @
    @mauwapuga47776 years ago Lol watanzania ndo watu pekee YOU Tube wanaogombania namba mwengine utasikia wa kwanza uyu wa pili basi shida tupu 22
  • @
    @abdulhamid13615 years ago Zenji sio maeneo ya darajani mote naon wazee munatingisha 2 2