Duration 16:24

MJENGO ANAOISHI GIGY MONEY MASAKI NI BALAA//MAKISS KWENYE BIRTHDAY YAKE HUNCHO MAHABA MOTO

144 348 watched
0
1.1 K
Published 17 Jun 2020

JANA GIGY MONEY Ametimiza umri wa miaka 23 na alisherekea sherehe yake yake ya kuzaliwa nyumbani kwake Masaki.

Category

Show more

Comments - 559
  • @
    @mungamichael93544 years ago The first time from carry, big up young man, your english will be more better as i expect. 15
  • @
    @queenlinda2554 years ago Miaka ishiri na tau maskini mdogo sana maisha tu ndio yamemkuza allah akupe itaji la moyo wako. 13
  • @
    @winniewendy83904 years ago Am kenyan bt let' s be realistic who doesn' t love and like gigywe love you and happy birthday. 87
  • @
    @feadyonlinetv80354 years ago Kama umesikia u know nying piga like hapa. 44
  • @
    @iluminathaluvanga86084 years ago Ahahaha wasanii bwana miaka yao huwa haiendi mbele ni kurudi nyuma tuu siku ingine tutasikia anatimiza miaka kumi jamani. 5
  • @
    @josephinejacques41714 years ago Dhuu huh! You know! You know mmpaka wapi? But our journalist hamejitahidi kweli gonga like kwa swali zake alizo huliza kwa husband wa gigy. 2
  • @
    @swiryjekalungi10904 years ago I love you gigy we share the same birthday month this is lovely happy womb escape ma twin. 4
  • @
    @juliaayieta25784 years ago Big up mtangazaji umefanya kazi nzuri sana. 1
  • @
    @adammjomba15544 years ago Shida inakuja pale unapo sema miaka chini ya ulionayo watu watakukubalia usemavyo tatizo linakuja kwenye uso, ndio utatoa majibu sahihi, uzee sio mzigo jitunze utabakia, na nguvu na ukakamavu lakini sio kupunguza miaka. 5
  • @
    @Dainess3654 years ago He is a keeper
    she is crazy. So am i what a man.
    2
  • @
    @carolinenyambura13184 years ago From kenya happy birthday girl but theenglish though. 15
  • @
    @alisterlexter11154 years ago Jmni uyo huncho izo you know you know you know mafiii ya kuku love gigy. 5
  • @
    @winfridangaruko70654 years ago The presenters english thoe. Sawa kingereza sio lugha yetu ila tujitahidi na sisi tusichekwe. 8
  • @
    @wamtaafrani95644 years ago Kamaume sikia you no nyingi gonga like. 26
  • @
    @rayyanjulliet46944 years ago This dude gat too much pride. Not even sure of gigys yrswho bewitched sometoo much with no point. Anyhus happy many more years gi money, al be here next year same month. Same date, diffrent year to witness if u still stuck on 23. ...Expand
  • @
    @pericykiko61984 years ago Hamna kiingereza hapo bora uongee kisambaa tu. 6
  • @
    @josephmapunda73214 years ago Kumbe amepanga nkajua kajenga wasann maisha yao weng maisha yao yacopy life sijui kwann.
  • @
    @ameeraaljassim41384 years ago Mbona hayo matusi mwayakatakata love u gigy from kenya. 1
  • @
    @fettymkupasi59624 years ago Shemela anapiga ngeli hatarii hbd gigiy money live long mimi nakupenda sana. 1
  • @
    @JayJay-rt9ox4 years ago Jamani mayra. Mama kapendezq lakini mtoto wah. 1
  • @
    @allthingdranabeauty4 years ago Izo nyumba renti ni millionna kitugigy usijisahau tu na mnageria kupanga million baada yakutafuta kiwanja unamtoto ujue. 24
  • @
    @vaneoruta4 years ago Wueh watz na kizungu. Huyu mtu wa mic akuje tu kenya apate hata tense pekee. 1
  • @
    @queenandchill914 years ago Mtangazaji: when was the day you met with gigy?
    huncho: the first day i met with gigy is the first day i met with her like in movies
    mtangazaji ana . ...Expand 8
  • @
    @sarahogama95404 years ago Jamani tuliambiwa tukiona mnigeria yeyote tukimbie kma janga la corona yaani ina maana gigy haogopi hilo janga au sio. 1
  • @
    @ms_caramel26884 years ago Aloskia was that a kiki 2juane hahahha english sio poa. 18
  • @
    @nairah64394 years ago Mmmh siamin kam akona 23 am 15 siamini. 4
  • @
    @everlyneiminza57224 years ago Lakini wakue wakweli miaka zao, huyu anatudanganyia hizo miaka hapa bana, ata angesema 25/26 to 27 hivi tungekubali. 6
  • @
    @AhmedSalah-ri3es4 years ago Mazarau nayo duuhh carry media imetukanwa na mtu mwenyewe umezidi mazarau giggy pesa ndio umezishika ukubwani ni taabu. 7
  • @
    @dottosalum98964 years ago Mtangazaji anapata shida masikini ya mungu loh.
  • @
    @hanifaamani33634 years ago Du! He is as crazy as gigy then they do have something in common! Life goes on! 1
  • @
    @monicamonica45974 years ago Kucha sasa du ata kujigusa mwili wako unaogopa utaumia urembo huu ongera mwaya hbd mdogo wangu.
  • @
    @jovinessleonard65184 years ago Mkaka mzur huyuu
    picha zinamharbuu
    you know.
    2
  • @
    @halmamudy14 years ago Gigy shes real! Hana life lakufake! But anapenda kikigiggy ndo kiki. 13
  • @
    @juliusmwinga40514 years ago Kizungu kwa ndugu zetu watanzania ni noma.
    sawa kaka mtangazaji.
  • @
    @254celebteachannel34 years ago Jamani mtoto wa watu kakazana na kingereza nice work bro.
  • @
    @esadkulovic67774 years ago No umekosea anafikisha miaka 3, asijali kma hataki kukua hata cckumshushia miaka ili azidi kufurahi. 12
  • @
    @zamdairadukunda99744 years ago Kwang it' s okay hata awe na myaka 12 mm nik happy saana alikuw hapendi basi ajipe kamba.
  • @
    @janethngowi10584 years ago Ni kweli ana miaka 23 hajawahi kudanganya miaka huyu sema sura imemshuka makaup sana na umalaya kauanza akiwa mdg. 14
  • @
    @teacherd4 years ago Jana gigy money ametimiza umri wa miaka 23. 3
  • @
    @ucjvvjcjjvih99344 years ago From tz umeweza my sweet zidi kupambana miss mahira.
  • @
    @greenadriano96984 years ago Ila kuna watu wabaya, wana sauti mbaya. 1
  • @
    @fatmaali49214 years ago Nacheka km mzur jaman huyu si ndo alifukuzwaa jaman hee noma gigi money kweli chiz kwa kweli kaniacha mdomo wazi. 1
  • @
    @aminakshamoona69004 years ago Mama gigy n gigy were send u away mtangazaji kizungu ni kigumu baba is that a kiki. 1
  • @
    @azizymachadeson35774 years ago Nyumba kubwa hiyo duh nadhani corona imefungiwa store haina nafasi hapo fyade! Gigy umetisha madam nakuelewaga ivo kibishi.
  • @
    @beatriceantapa59404 years ago Hatuna kazi yake clinic, kama amefikisha ni heri.
  • @
    @zaudiakajeze83754 years ago Nimesabu u know mpkabhn. Niachee kidogo. 1
  • @
    @officialmrtop10184 years ago Hahahaah umejaribu lugha lakini watangazaji ingekuwa vizuri mkafanya tuition ili mjiboreshe zaidi mtazalilisha nchi daah.
  • @
    @emanuellawrence49124 years ago I kirengesa yetu tz nimeipenda man ghai.