Duration 00

DKT MWINYI AVUNJA UKIMYA KUHUSU UCHAGUZI WA JUZI “PANDANI PEMBA”

32 181 watched
0
159
Published 2 Apr 2021

Category News & Politics

Show more

Comments - 101
  • @
    @josej98883 years ago Mwinyi anaongea tu kwa maneno bila vitendo! Nimeshamfuatilia Sana tembea mtaani ndo utaeleweka 25
  • @
    @saidsalim37283 years ago Uongo hadi katk nyumba za ibada kisa madaraka tu haya mzee 15
  • @
    @salimshaib8793 years ago Mmi nilichokiona kwa hapoo ni Kam kabeza Yale yaliotendeka kwenye chaguzi hizi na kaona ninsawa tyu walivyo fanya tume na mkuu wa mkoa ssa tusubir 2025 tuhakikishe hichi ninachokisema 13
  • @
    @dm92993 years ago Ilikuaa nguvu ya soda, saiv hatusikii jibu wala pele kutumbuliwa hatutaki maneno tunataka vitendo na viongozi na masuali mbele ya Allah,vitunguu mafuta samli kila vingiingia sokn kwerekwe vitu ivo vinakuja na bei mpya za juu tumeshavunjika moyo na mapema sisi wanyonge ... 10
  • @
    @yahyahamad18023 years ago Mhe ukumbuke umoja na upendo ili ukamilike na wale mashekhe waliopo ndani miaka 8 sasa ukamuone mhe samia mufanye utaratibu wa kuachiwa huru au wahukumiwe 14
  • @
    @imsimk.khamis5743 years ago Huyu asituletee porojo naaawape ujumbe na Mbwa Mwitu wake wa CCM wanaojivisha ngozi ya kondoo 7
  • @
    @al-khulqatrasuulmapape23123 years ago Mwinyi aaa maneno matamu lakini vitendo hatujaviona kabisaaa 18
  • @
    @salyali78073 years ago Mwiyi hana mpango wowote .. anawafool wazanzibari tu... Punda ni yule kabadilishwa soji tu 4
  • @
    @user-go3bk6wr8u3 years ago Mzee miskitini sio sehemu ya siasa zako za uongo,
    unafiki sio jambo zuri kwako na upunguze uongo.
    2
  • @
    @ammaryassir86623 years ago Ndo wale kwn kimekushinda nn kukemea na kuwaambia wahusika yasijirudie tena ngoja nikwambie fanya ujuavyo znz haitotokezea ccm kushinda kwa kura coz lengo letu kuu ni znz kamili na ww huwez kuileta 5
  • @
    @fathiyasalim39463 years ago Uchaguzi kinuni wakala katekwa na kupigwa. MHE. Unasema uchaguzi ulikuwa mzuri. Oooh au alitaka watu wafe? 6
  • @
    @issaal-busaidi44793 years ago Hiy tume itakuharibia muheshimiwa, wazanzibar niwamoja wakiamua kuondosha umoja hakun kitachofanyika, mfano wa 2015 to 2020, 3
  • @
    @aishanassor80573 years ago Mwinyi hii si Sawa tunaomba uchukue hatua watu waliopigwa km yule amepigwa ameumizwa sio sawa kabisa kusema umekuwa kwa amani sasa unatuvunja moyo nasi kuwa unalipa baraka zako mwinyi nataman sana usingelikuwa sawa na waliotangulia kwani tulikupenda tulikuamini sana huku unakoelekea siko kabisa. Unatakiwa kuitoa tume hiyo ya uchaguzi kuweka wengne na pia walioyafanya hayo wachukulie hatua hadharani ili iwe funzo isiendelee watu watakupenda na kukuombea Dua Mwinyi bora yako ktk dunia na akhera ni kuwa na uongozi bora utaoacha historia nzur hatujui kesho yetu wala akhera yetu moto Wa Allah ni mkali sana hakuna anayeuweza fikiria yanayowakuta waislam wenzio amepigwr mtu ana watoto na wake 2 wanamtegemea km angekuwa mtoto wako ingekuuma unatakiwa ikuume pia akifanyiwa muislam mwenzio muhim kwako kuwa kiongozi muaminifu dua za watu hakika ni zenye nguvu mwinyi tunakupendr tunaomba usielekee huko hakunamwisho mzuri kwa akhera wala dunia yako
    Namuomba Allah akuongoze ktk kuiongoza Znz kwa uadilifu na imani juu ya waislam wenzio
    Amin
    ...
    2
  • @
    @natafutamatatizo43823 years ago CCM HAWABADILIKI MPAKA DUNIA ITAISHA. DHULMA KWA CCM NI HALALI KWAO! 5
  • @
    @zenj19863 years ago Mawaziri wako walipochagulia walikuwa na povu la soda. Walitoa maonyo lakini hakuna lililofanyika. 5
  • @
    @shekhalban81683 years ago sijaona haki kutendeka ndani yake kuna batil uislam ndio njia sahihi pekeyake kila mtu atapata haki yake uongozi bila kumuogopa allah hapo ni kudanganyana tu 2
  • @
    @salmahilal35773 years ago Hata nyinyi serikali mpunguzeee ukubwa wa makodii na mabimaa .... Ugumu wa maisha unaanza kwa serikali kuwaminya wafanyabiashara na kukwapua pesa zaooo 2
  • @
    @shafyjuma33233 years ago DJ ni yule sema tu huyu anapiga bluz 😂 2
  • @
    @hafidhhemed15143 years ago una maneno matam muheshimiwa ila tunataka vitendo, tume haina unafuu na hatukutarajia kutokea yaliotokea.. usipochukua hatua kwa vitendo mwisho tutakubeza 3
  • @
    @guyoarero9863 years ago ADC shouldn't stand behind the president inside the mosque....... every one is equal before Allah 1
  • @
    @alimuhamed18303 years ago Allah akusimamie katika kuisimamia haki inshallah 1
  • @
    @khamissiali22313 years ago Ng'ombe ndio yule kabadishwa kamba tu. Uongo mpaka ndani ya nyunba ya Mungu 1
  • @
    @sudaissoud36703 years ago NAONA SASA NISHAONDOA IMANI KABISA NA WEWE..UNAFIKI MTUPU...WAZANZIBAR TULIKUPENDA ILA NAONA KARIBUNI2 TUTAKUCHUKIA 1
  • @
    @zayyatiyussuf95663 years ago Shukran ktv tz online hakika hii ni fahari yetu 2
  • @
    @abasamwame65833 years ago Enyi mlioamini kwanini mnasema msiyoyatenda ?ni chukizo kubwa kwa Allah kuyasema msiyoyatenda !!!rejea suratu swaf
    Mnaamrisha watu wema na kusahau nafsi zenu na hali ya kuwa mnasoma vitabu .hivi nyinyi Hamfahamu?
    Albaqara
    ...
    3
  • @
    @zayyatiyussuf95663 years ago Swadakta umoja ninguvu na utengano niudhaifu Allah anatutosha 2
  • @
    @arafahassan52573 years ago Mbona hawazungumziwi masheghe? Angalau ramadhani hii wakafungia na familia zao na kufanya ibada zao vizur na kwa wakat? Rais mwinyi liangalie hili 2
  • @
    @abdallahsalum73013 years ago Mtumzima hambuwi muongo heshimu nyumba zaibada 1
  • @
    @hilaliomar71153 years ago hahaha waliowengi ..................... h 2
  • @
    @lilianmakwati52283 years ago Sita kaapo nianze kuwaamini ccm Kwanza Ni wanafiki 1
  • @
    @idrisasalum80133 years ago Maima wasimruhusu huyu duh sio kwa uongo huo mtihani huu nimevunjika moyo xana kumbe ndo walewaletu 1
  • @
    @AliMohamed-wp1op3 years ago MUSILETE SIASA MISIKITINI, MUSIGEZE WAKRISTO 5
  • @
    @yasalaam5903 years ago Ndiyo baba wambiye hao wamezidi wakiona ramadhani mfumko wa bei unazidi kuna wanyonge masikini hawamudu hizo bei mtihani lisomamiwe hili uekwe uchunguzi wakutosha kwaatakae pandisha bei kiholela avmchukuliwe hatuwa mungu azidi kukufanyiya wepesi rais wetu mcha mungu amiin ...
  • @
    @mwigaali88003 years ago Tumechoka na maneno yako yakwenye kanga tunataka vitendo tume umeibeba walokuwemo na ww umo juu ya yale yaliyotokea ktk chaguz ndogo 1
  • @
    @mohdmbarouk84653 years ago Nilishapata mashakka nae kashindwa kuwasemea hata Mashekhe zetu tu sijawh kumskia kuongea hilo hata siku moja 1
  • @
    @mwadinijuma57143 years ago Mshimiwa buu tunaka ss kuuza vitu beii rahis ss tunauziwa vt beii na Kodi ipo juu hebu rais wetu ss tufanyeje
  • @
    @bintsalimalbimany53403 years ago Ahh uchaguzi umepita kwa Salam na Aman??musimchokoze Allah nyii unatok kusali Rais usituvishe baibui wakat ata nguo yandan hatujavaa😩Mim nilimjua toka mwanzo uyu kua ndo wale wanajitia kuingia miskitin wakihubir Aman Allah akuongoze Raisi ulieekwa si tuliyekuchagua😭😭😭CCM Wapi nawapi nashindi ZNZ😩 ...
  • @
    @asiahussenn5763 years ago Muheshimiwa changamka jamani usiongee tuu nasikia umeshusha kodi kwanini usisimamie wapunguze bei
  • @
    @antashaal22573 years ago Kweli baba tunaumia wanyonge sukar Pemba elfu 90
  • @
    @fatmajuma98353 years ago Punguzen kodi na vitu ndio vitashuka Bei
  • @
    @shekhalban81683 years ago hawa wanaweza wakasema hatujawasia sisi mashekhe na watatolewa na walowatia ndani kwa hawa wakubwa wanalindana mm nnawasiwasi hawa mashekhe wapo hai jamani maana sijawah kumsikia kiongozi yyt alau kutudanganya kama watatolewa ...
  • @
    @nooor11203 years ago Baba yetu vitendo muhimu
    Hata uzungumze maneno kdg ila vitendo vitawale baba
    Au wewe ndio km walio ondoka?😭😭😭😭😭
  • @
    @bakarhamad47513 years ago Hana lolote mchumia tumbo lake kibaraka mkubwa wa ccm haya mambo mengine niyakupita naatumalze Wazanzibar lkn ajue tu na yy atakufa
  • @
    @khamissalum92853 years ago Hana lolote mbona uchaguzi husemi kama sio haki
  • @
    @gloriamasaka76353 years ago maombi, Tunamuombea Rais Samia haya ya YOSHUA 1
    8 Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.
    Ikawa baada ya kufa kwake Musa, mtumishi wa Bwana, Bwana akamwambia Yoshua, mwana wa Nuni, mtumishi wa Musa, akasema,
    2 Musa mtumishi wangu amekufa; haya basi, ondoka, vuka mto huu wa Yordani; wewe na watu hawa wote, mkaende hata nchi niwapayo wana wa Israeli.
    3 Kila mahali zitakapopakanyaga nyayo za miguu yenu, nimewapa ninyi, kama nilivyomwapia Musa.
    5 Hapatakuwa mtu ye yote atakayeweza kusimama mbele yako siku zote za maisha yako; kama nilivyokuwa pamoja na Musa, ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe; sitakupungukia wala sitakuacha.
    6 Uwe hodari na moyo wa ushujaa, maana ni wewe utakayewarithisha watu hawa nchi hii niliyowaapia baba zao ya kwamba nitawapa.
    7 Uwe hodari tu na ushujaa mwingi, uangalie kutenda sawasawa na sheria yote aliyokuamuru Musa mtumishi wangu; usiiache, kwenda mkono wa kuume, au wa kushoto, upate kufanikiwa sana kila uendako.
    9 Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako
    ...
  • @
    @fatallyomar14763 years ago Namkubali sana rahisi sasa ni wakati wa kumuomba Allah atupe ukombozi wa kweli Zanzibar kupitia viongozi wetu
  • @
    @muhsiniddi51743 years ago Tatizo makodi makubwa mh rais, inakuaje Kodi ya mwezi mmoja laki 8, darajani jumba la train, sasa unategemea wauze vp vitu vyao wafanyabiashara ili wapate faida yao, na wapate kulipa hiyo Kodi? Mkuu nyinyi ndo viongezi wetu wapunfuzieni kodi munawaumia wale watuuuu ...
  • @
    @alhajjikocha84443 years ago Pandani Pemba au Amani sasa which is which
  • @
    @kreamagdfsa16973 years ago Umenena kiongozii wetu RAMADHAN wafanya biashara husema mwezii wa machumo lakn sio khaq 2
  • @
    @somoh75893 years ago Mbona sasa tumesha kuingia hofu tena kwa uchaguzi utakao fuatia 2025 watu watakufa kwa maneno hago Bado hajakubali kuwa na umoja 1
  • @
    @mukrimtwalib11933 years ago Ilikua twambeza ila kumbe huyu ni rais mzalendo
  • @
    @mariamfaki11663 years ago Tume ni ya ccm bado haturidhiki tunataka tume huru 10
  • @
    @khadijasalum23023 years ago Kweli ramadhan biashara zipungue hongera rais