Duration 35:7

Salama Na Gabo Ep 25 | MTOGAPAAFWE Part 1

127 647 watched
0
1.5 K
Published 19 Jul 2020

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs Listen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm� �� ‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru� �� GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack ‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa Jina halisi ni Salim Ahmed Issa, na kwa mujibu wa niloyasoma ni mjukuu wa moja ya watu maarufu mkoani Iringa ambaye alikua anatambulika kama Mtogapaafwe Kiyeyeu. Huyo alikua ni BABU wa Gabo Zigamba kabisaa ambaye binti yake Rafia Issa Kiyeyeu ndo Mama mzazi wa Gabo huyu tunayemfahamu mimi na wewe. Unaambiwa kaburi la Marehemu Mzee Mtogapaafwe lilikua na maajabu sana, ila hiyo ni khadithi ya siku nyengine. Hapa ilikua juu ya utambulisho wetu kwake na sifa zake actor hodari toka kwetu Tanzania. Gabo si moja ya marafiki zangu ila baada ya kuonana hapa ndo urafiki wetu ulipoanzia baada ya kujua pia tunafanana kwa mambo mengi kwa kweli. Gabo ni MTENDAJI, kuongea anaongea pale anapokua huru na mazingira ila mara nyingi huwa hasemi sana bali anatenda zaidi. Toka nimemsikia mara ya kwanza mwaka 2016, kijana huyu amekua akishinda tuzo mbali mbali na kutengeneza base yake vizuri kabisa. Na ukimuuliza mtu yoyote anayefuatilia mambo ya filamu kuhusu yeye basi hakika utaskia kipaji chake kikizungumziwa pia. Tuzo mbali mbali Gabo ameziokota sana na mpaka kuna kipindi ilikua inasemekana kwamba yeye ndo ‘mrithi’ wa Marehemu Steven Kanumba kitu ambacho kinaweza ikawa motivation au viatu vikubwa sana kwa miguu yake. Swali ni je, anajua watu wanamuona huko? Kwenye kikao chetu zaidi mimi nilitaka kumfahamu haswa, kumfahamu yeye binafsi na familia yake, nilitaka kufahamu kinachompa raha na karaha. Nilitaka kujua alianzia wapi, nilitaka kujua starehe yake, mipango yake, mitihani yake. Nilitaka kujua kuhusu jina lake, kuhusu kipaji chake, kuhusu dini na mahusiano. Kuhusu industry na ushindani wa ndani na nje na Sanaa kwa ujumla. Na nashkuru alinipa time yake na yangu matumaini humu utapata chochote kitu cha kukufunza jambo. Tafadhali enjoy. Love, Salama. Soundtrack Yeah by @MarcoChali /watch/QLnf4BH1euC1f Follow: Twitter: http://twitter.com/YahStoneTown Instagram: http://Instagram.com/YahStoneTown Facebook: http://facebook.com/YahStoneTown

Category

Show more

Comments - 227
  • @
    @beshuuambarali49603 years ago Salamaa fanya uje unihoji na mimi mjuba bEshuu mii nna saloon ungujaa 4
  • @
    @rosemofuga63134 years ago Yaani salama huwa napenda sana maswali kwa wageni wako, yaani huwa una maswali fulani hivi amazing l real like it 15
  • @
    @ujudiabdull94424 years ago Kwanza nimependa matching blackblack mmetokelezea ....pili Salama nakupenda mana maswali yako huaga yanachangamoto hufkirii km utaulizwa wajipange..huchoshi love it.. 4
  • @
    @shariffabdallah46694 years ago Baadhi ya waandishi wadogo waige mfano wa Salama ktk kuhoji ili wakue kitaaluma,haichoshi kumsilikiliza Salama anapohoji kama inavyochosha baadhi yao,kuanzia jinsi ya kuhoji mpaka lafudhi zao zinachosha kwani hawajui tofauti kati ya L na R....Ahsante Salama........Ombi...tuletee na viongozi wa dini ... 3
  • @
    @zamamuuhamisi66544 years ago Yaan katik wasanii wa kiume ninao wapenda GABO jmn uko vzr hngera sana dada salama kwa kumleta huyu mtu 2
  • @
    @beshuuambarali49603 years ago Salama Tuletee manGe kimambii yaani najikuta nampend BURE😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍 2
  • @
    @hamenyayohanakasase58364 years ago Bonge la interview asee, huwezi kuchoa kutazama. Kwa kweli Salim (Gabo) ni mwana Kiswahili, na muitikio wake kwenye maswali yako Salama yanafanya mahojiano yavutie. Hongera Salama kwa mahojiano ya kistaarabu. 5
  • @
    @noelmarapachi18084 years ago One of my favorite INTERVIEWER-Salma Jabir, tafsiri sahihi ya Interviewer 18
  • @
    @beatricetenywa43674 years ago Gabo ni actor mkubwa asiye na majigambo atafika mbali..anajibu maswali vizur sana🤗 7
  • @
    @mzulunatal80624 years ago Bro huku kuna kitu kinaitwa , ndio habar ya mjini kwa sasa, ikifuatiwa na shilingi. Natumai ukimya wako sio wa bure, bila shaka kuna bomu unaliandaa, tupo tunalisubiria kwa ham, najua hutatuangusha. Fikisha salam kwa bro Ray, mwambie tumechoshwa na kufoka foka, abuni style mpya ya kuvutia mashabiki. Watu wanapenda kuona mambo halisi yanayojir uswahilini sio maofisini tu kila siku ... 4
  • @
    @celestin46843 years ago Duuu Gabo mi nakukubali sana tangu zamani. Kwenye Bado natafuta Nakubali sana Sara kwa kumuita Gabo 1
  • @
    @OmanOman-gc1zu4 years ago mungu akupe afya njem na umri mrefu ln shaa Allah.. najifunza mengi sana tena sana.. 🌹🌹❤️❤️ 3
  • @
    @mohgamhooga12704 years ago Napenda maswali yako kwa mgeni wako salama,,,,,ni maswali yeny uhai ivi,,,,,na hasa majibu yaendane na maswali,,,big up kwenu,,,Allah awahifadhi insha Allah 6
  • @
    @POGtv-xp9ee4 years ago Daaaah my brother gabo anajibu maswal so nice one day Nita fanya kazi I believe and I know 2
  • @
    @richardmollel20324 years ago Gabo baba lao salama vipindi vyako navikubali sana iyani upo ameizing 1
  • @
    @misslovria4 years ago Jaman Gabo amenifanya nicheke mpaka basi love u so much GZ 2
  • @
    @evnglst.rahniel52384 years ago Good convo salama na kila mgeni wako unaemualika ... Special applause to you mamaa, and whole crew of yours ... Nawapenda na ninapenda kipindi chako ...ni fireeeee, 5
  • @
    @ajaxjunior41513 years ago Good interviews, good questions, good answers Mimi ninapenda hivyo vyote cause ninajifunza vitu vingi sana 4
  • @
    @youngtuso30484 years ago Sio muigizaji niliyemtazama Nilipokua mdogo kama SINGLE MTAMBALIKE.. JACOB STEPHEN AU NATASHAA MAMVI lakini Nimemjua kama Muigizaji Bora Katika Generation Yake... Namkubali Sana Gabo...!!! He is One Of The Best Actors in Tanzanian film...!!! ... 5
  • @
    @noxlosingida23694 years ago Gabo nampendaga hasa ngozi yake ni Natural macho yake ndiyo ya nanivutiaga zaidi na huo urefu wake sasa 👌 2
  • @
    @maryamhamad51583 years ago Kumbe ni wa 3 ndio maana ana akili mingi like me 4
  • @
    @blandinamnyinga83184 years ago Lungembaaa hiyooo!!!!wazee wa matukio machifu hataree sana 4
  • @
    @omarmaryam98893 years ago Duh gabo hadi nakupenda yan unafurahish kwel 1
  • @
    @beshuuambarali49603 years ago Yaan hii interview ni Yaajabu Gabo hana kuekti kiingrezaa ata kidog so awo wengne wangkuja tusingeelewana. 2
  • @
    @frankngereza63734 years ago Kazi nzuri sana napenda kukufatilia toka zamani dada 2
  • @
    @mwajabumalekela45113 years ago Nzuri saana!!! Ila natamani nipate jina la movie uliyokuwa na JB kwny kampuni ya usafi ...... jina tu jmn!!
  • @
    @fidelisraymond9404 years ago Lini utamleta 20% hapo jamaa ana mengi ya kuongea pls dada salama 17
  • @
    @mozasaid38694 years ago Namkubali sana Gabo , Intevie imetulia👏👏👏 2
  • @
    @fathumramadhan75673 years ago Mambo vp salama napenda sana vipi vyako na uko sawa one love watching you from Qatar Doha 1
  • @
    @alexiamruu75814 years ago Throug your interview i learn alot and get courage where i have fall.....Big up kwako sis Salama💋💋💋 8
  • @
    @husnazahoro70824 years ago Salama nakupenda sana mm ni shabiki wako na Gabo ni msanii wangu 1
  • @
    @charlesyapuka49923 years ago Kwani Da SALAMA BROTHER K usha mwita😀😀😀😀😂😂 1
  • @
    @reenlis76654 years ago It will be best if we get to know your story salama.... so its NA SALAMA 3
  • @
    @magicfighter54754 years ago Wooooh big up dada salama huyu brooh namkubali sanaa 2
  • @
    @makamefaki95134 years ago Kipindo kiko poa sn mung akujalie mafanio mazur pia gabo namkubali sn big shara kwake 👊 1
  • @
    @CoachHafidh4 years ago Kiswahili kizuri jamaa anaongea...alafu nidhamu kubwa ya maneno yake mwanzomwisho 23
  • @
    @thelynntv71314 years ago Love u so much form sauza Africa my salama .😘😘😘😘😘😘😘really I like u 2
  • @
    @AlexKarisa10 months ago Tunakupenda sana Gambo likini moves hatuzipati lete move bwana.
  • @
    @kazunguthoya88002 years ago Watching it today although watched others before but this is my fav with my fav artist so far I enjoyed 1
  • @
    @charlesmabena9544 years ago Daaaaah Nampenda Sana Gabo Zigamba/ Salim ❤️❤️❤️❤️ 1
  • @
    @blandinamnyinga83184 years ago MHEHE kumdharau ufanye KAZI🙆🙆🙆kamwene be mwagito 2
  • @
    @remmyrahma8414 years ago Salama mm huchelewa sana ila sipitwi kabisa gabo namkubali hana sifambaya am Remmy from Mombasa Kenya
  • @
    @twalibutwalibu52523 years ago Mtangazaji bora wa kike wa mda wote.... Kwa muongo wa pili Sasa
  • @
    @therealmsopa4 years ago Aire Kama Hailesalasie 🔥🔥 Gabo Katisha 2
  • @
    @didahbebe38662 years ago Hahahahaaa wallahi this dude is so good ma sha allah anakipaji kikubwa sana namkubali kinyamaaaaaa
  • @
    @rashidinyakanyaka59924 years ago Kpind kzur na nafuatilia kwa kuwa nakufuatilia salama kitambo sana kabla hata ya mkasi 1
  • @
    @hajiramadhani26994 years ago Nakukubali Sana dada anipa unafanya kazi nzuri Sana
    Mimi natamani pia nifanye kipindi hichi na wewe ninamengi ya kuismbia na kuifundisha jamii
  • @
    @charlesmabena9544 years ago Daaaaah Jamaa Namkubali Alafu Anapenda Sana Majani Yaaaan Kitu Cha Jamaica Yaaaan Kwa Bongo Wanaita Kitu Cha Chuga
  • @
    @chikotosammy38914 years ago Big up Madam salama... Shikamoo tena heshima yako ..... Napenda unavyo fanyia watu mahojiano.. nami napata kujifunza vitu vingi sana... MUNGU azidi kukulinda na kukubariki dear...+254🎧..
  • @
    @charlesdamas18633 years ago Salama leo umepatikana
    Maana bro anaongea kama ana rap
    2
  • @
    @seventcentlothy1054 years ago Daaah!!broo kuna kitu kimoja ivi haukipendi sana ktk life lako na ni kweli kinakera sana ZARAU daaah!!! Ni kitu kibaya sana icho nami no 1 icho big up broo
  • @
    @idavastaborn18184 years ago 1.zahir zorro
    2.wananjenje,kilimanjaro band
    3.mchizi mox
    4.bizman
    5.ferooz(ile ngoma ya ndege mtini waliitengenezaje mnk ina ubunifu wa juu)
    ...
  • @
    @elizajuma56164 years ago It was an Amazing interview ever.... Gabo your the best indeed 6
  • @
    @mohamedhussein-qb5sg11 months ago big up salama and gabo ..much love from Kenya
  • @
    @mactongathe1794 years ago iyo Background Soundtrac ya kamaa King Zillaaa vle (AAAAh KUMBE ni CHALI..INCREDBLE & Msamiati) il nfanya kufuatlia kpndi. Salama kama vp nawwe jfanyie interview! cjui nan Awe Host apo! kat ya Abby Hstn, Ellen, Opra, Olivia Munn, AU BI CHAU? U R THE BEST AISEE ...
  • @
    @anitanahimana21154 years ago Asante sana.kwakuturetey gabo zigambo tureteya na Rammy..mu somaria
  • @
    @aminahamis93774 years ago Hi salam I love ur show never miss it love from Dubai I can’t wait see wema sepetu or Diamond Platnumz on ur show 12
  • @
    @salumjumah56487 months ago Gabo zagamba bado natafuta filamu yangu bora siku zote
  • @
    @grolyqueen58332 years ago Misemo ndo mahala pakee big up sana gabo
  • @
    @annemakaka2103 years ago Very professional. I like the interview
  • @
    @said306nyatu94 years ago I wish. Muigize gabo. Rihama awo watu alowataja gabo I wish move itanoga sana
  • @
    @thelynntv71314 years ago Wooooooooowwww 9this man is so cut😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘 1
  • @
    @vladimirlenin2004 years ago Kitu nachopenda kwenye interview za Salama hasa hii Yah stone town ni yuko open kuuliza watu tofauti maarufu maswali na hafichi kitu.. 3
  • @
    @mohamedmunisi67052 years ago I like this salama u r the best always
  • @
    @davidsindoma94033 years ago Nakukubari sana salama katiki vipindi vyako
  • @
    @scripturetz10564 years ago From Tabora unyamwezini naichek show APA 1
  • @
    @yusufmohamed88744 years ago GABO ni mtu safi sana...
    Nilisoma naye pale Ipogolo, Iringa na tukala maharage pamoja.... BigUp sana mzee 👏.... Watching from Vereeniging, South Africa 🇿🇦
    1