Duration 19:12

Maalim Seif aibua mapya mkataba wa mafuta Zanzibar, atoa tamko

17 649 watched
0
67
Published 11 Nov 2018

Leo Novemba 11 Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu utiaji wa saini wa mkataba wa ugawaji faida (PSA) baina ya Zanzibar na Kampuni ya RAK GAS ya RAS ALKHAIMAN na kutoa tamko kuhusiana na sakata hilo.

Category

Show more

Comments - 36