@theopisterjovent34836 months agoKwa sababu ni kaka felix mwenda ndo naisikiliza leo japo wenzangu washasikiliza miaka 3 ila sasa inanoga utadhani imetoka leo nakupenda kaka fm. 2
@
@khadijamohd22993 years agoKaka felix unasimulia vzr sana mungu akaubariki.
@
@shangwekamando25994 years agoUdugu wangu felix mungu akupe miaka mingi yenye heri na baraka tele na mafanikio yako na ya familia yako. 6
@
@ltlmedia84804 years agoHujawai kuniangusha mzee baba keep it up. 3
@
@lavenalol59444 years agoAsante kaka felix simulizi hii zuri sana na nimeipenda lakini itabidi nilale na taa inawaka maana ile ndoto ua chatu du, sumbawanga hapana chezea. 4
@
@omaryasmah49904 years agoDuu asante ila twasubiri tina jomoni. 1
@
@sweetymanka48213 years agoJaman kwan simuliz mix ilipoteleaga wap jaman. Felix hans.
@
@rukiaomari49674 years agoNyumb yang mpya sumbawanga nakuelewag mm mwenzio kak felix. 2
@
@winfridaphilemon81654 years agoPresent shukrani brother felix. 6
@
@alexshoo15684 years agoAsanteni sana simulizi mix kwa simulizi zenu nzuri sana.
@
@jznciss95674 years agoYani apa ndo nawapendeaga kila kukicha vitu vizur tu. 7
@
@thuwaibaabdallah35154 years agoMh mambo ss ya nataka yaanze asante kk felix.
@
@happytimpiyian13474 years agoFelix barikiwa sana kaka yan mungu akupe afya njema maana unakipaji cha kipekee kwel.
@
@happyluka3284 years agoDah hakika kaz zenu n njema voko yako2 aichosh kusikiliza bg up kaka felix mwenda.
@
@tamaraseff.97074 years agoUyu dude ako shwari kusimulia mikasa. Hongera felix.
@
@nibigiramwajuma79254 years agoAsante sana felix kwa burundani za simulizi.
@
@aminaomary49474 years agoStory tamu sana, tuletee na muendelezo wa siri iliyotesa maisha ya tina season 2. 1
@
@isackisack98334 years agoSafi sana felix, ila tunaomba siri ya maisha ya tina season 2. 2
@
@sweetaromakitchen81944 years agoNumber one fan, ngoja ncklz uhondo, mweny jina langu khadeejah. 2
@
@shalmasshalmas71754 years agoJamani mimi simulizi mix bila felix kwangu haidogi. 2
@
@umisidi18164 years agoAsante simuliz mix na anaye tusimulia felix tuko pamoja.
@
@goldenqueen39993 years agoSimulizi taamu. Ila hyo sauti jmny nd yanchanganya mie.
@
@mtotomenah70954 years agoDaahh walai majanga yameanza mapema, hki ngekua mm nsingeingia ndn aise,
@
@yusramwinjuma47214 years agoDuh majanga hayo ndoto ile ilimaanisha.
@
@officialifruit_x75494 years agoKaka felix tuletee hizi za kuogofya time za mchana bwana watutisha lakini ujue sio vizuri. 2
@
@hendryprosper99504 years agoNawakubali naombaa link ya sesozon 2_ya hii. 1
@
@ashuraussein75823 years agoNilikua nakitu ca mwaka siskii simulizi zako brazaasante na enjoy.
@
@khadijamzee27394 years agoMtunzi wa hizi horror stories is super good!!! Zingepata director akatengeza movie .. 7
@
@foscanekesa80674 years agoAsante sana kwa simulizi nzuri felix ebu niulize season two ya msitu wa gwizulu imo wapi. 2
@
@rukiahamadi62384 years agoKaka felix i jini wa bahari sehemu 14 ile ya nurdin haipo?
@
@noonalfarsi85044 years agoFelx unasimulia vzr sana hongera sanaa kaka mungu akubariki katka kazi yako.
@
@SimuliziMix4 years agoTina season ii inaendelea baada ya kuimaliza hii yenye eps 4 pekee. Tunataraji itakua ni weekend hii. 27
Related videos for MPYA: USIKU MMOJA NDANI YA NYUMBA YANGU MPYA 1/4 BY FELIX MWENDA.:
asante
ila twasubiri tina jomoni. 1
shukrani brother felix. 6
hongera sanaa kaka
mungu akubariki katka kazi yako.