Duration 5:20

WAZEE CHADEMA TATIZO SIO MAGUFULI, NI KIKWETE

8 093 watched
0
46
Published 13 Jan 2020

Baraza la Wazee la Chama cha Chadema (BAZECHA), limesema mkwamo wa Tume Huru ya Uchaguzi, umesababishwa na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 13 Januari 2020, jijini Dar es Salaam, Hashim Juma, Mwenyekiti wa BAZECHA amesema, Rais Kikwete anastahili lawama kutokana na kupuuza Rasimu ya Katiba ya Jaji Mstaafu, Joseph Warioba, iliyopendekeza uundwaji wa tume hiyo. Follow us: Twitter; https://twitter.com/Uhurubilamipaka (MwanaHALISI Digital) Facebook; https://www.facebook.com/MwanaHalisi/ Instagram; MwanaHALISI_Digital Website; www.mwanahalisionline.com

Category

Show more

Comments - 26