Duration 16:33

Umoja wa Mataifa wazungumzia mafao ya wanajeshi waliouawa DRC

154 807 watched
0
407
Published 16 Dec 2017

Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Modest Mero aongea kwa mara ya kwanza na Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa na kuzungumzia masuala kadhaa ikiwemo mashambulizi dhidi ya walinda amani wa Tanzania huko Semuliki, DRC pamoja na hatma ya mafao yao.

Category

Show more

Comments - 42