Duration 6:49

Jinsi ya Kurudisha MAPENZI yaliyopungua kupitia picha ya rangi - Utabiri wa Nyota - S01EP33

112 388 watched
0
1.2 K
Published 9 Apr 2018

MNAJIMU Kuluthumu Salim Ndee maarufu kwa jina la Dk Love ni mnajimu wa nyota nchini. Kuachana na mpenzi wako katika mahusiano ni kitu cha kawaida. Lakini kuna njia za kuweza kumrejesha Mpenzi wako kinyota. Nyota zenu zinaweza kuwa na nguvu ya kuweza kuwarudisha mkawa pamoja tena. Awe Mke, Mume, au Wageni wa mapenzi. Kwa maswali usiache kucomment hapo chini na tutayabu maswali yenu. Jinsi ya Kurudisha Mapenzi yaliyopungua kupitia picha ya rangi Tembelea Facebook account https://web.facebook.com/utabiriwanyota

Category

Show more

Comments - 0