Duration 6:25

KUTOKA SIMIYU: WACHIMBAJI WA DHAHABU WAPANGA KUFANYA MAANDAMANO HADI KWA RAIS SAMIA MEI MOSI

9 940 watched
0
69
Published 30 Apr 2021

Wachimbaji wadogo wa mgodi wa Bulumbaka uliyopo kijiji cha Bulumbaka wilaya ya Bariadi mkoa wa Simiyu wamelalamika Muwekezaji kupewa leseni bila ya makubaliano na wenye maeneo pamoja na Mwenyekiti wa Kijiji kutokuwa na taarifa nae juu ya leseni ya uchimbaji kwenye huo mgodi na kushikinikiza kufanya maandamano hadi kwa Rais Samia

Category

Show more

Comments - 137