Duration 13:35

Kwanini Bado Una Chunusi Na Makovu Usoni Na Matatizo Mengine Ya Ngozi

9 318 watched
0
220
Published 11 May 2020

Karibuni tena wapenzi kwenye video nyingine ya kuhusu ngozi Nimeongelea vitu ambayo ni muhimu kuzingatia kwa ngozi yako ili uaipata matatizo kama chunusi, makovu, Ni vitu rahisi tu vya kuzingatia ila watu huwa tunasahau au tunakuwa hatujui. Naomba uangalie hii video ili kama una matatizo ya ngozi.uweze kupata msaada kidogo 💕😘 Video ya mask nzuri kwa watu mwenye ngozi ya mafuta 👇🏽👇🏽 /watch/ERmyAnGzImVzy Video nyingine ya kufanya mask/ scrub usoni 👇🏽👇🏽 /watch/sFzuRGk1Ib-1u Unaweza kunipata kwa: Instagram: bariki.k Email address for sponsorship or business: bariki.karoli@gmail.com

Category

Show more

Comments - 76