Duration 18:10

Yanga yachomoa bao kimiujiza ikitoka sare ya 1-1 na Mtibwa Sugar - Tazama highlights

127 272 watched
0
376
Published 22 Jul 2020

Adeyum Saleh ameisawazishia Yanga kwa bao kwa shuti la maajabu dakika ya 83 na kufanya Wananchi wapate sare ya bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar. Ni katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Jamhuri, Morogoro. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 32