Duration 9:33

WAZIRI GWAJIMA ACHARUKA, HUU NI UZEMBE, AUNDA KAMATI MAALUM ya NACONGO..

1 231 watched
0
3
Published 7 Jun 2021

WAZIRI GWAJIMA ACHARUKA, "HUU NI UZEMBE", AUNDA KAMATI MAALUM ya NACONGO.. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameunda Kamati ya mpito ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) kwa ajili ya kuhakikisha uchaguzi wa viongozi na wajumbe wa Baraza la Taifa la Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO) unafanyika. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini hapa leo, Dkt. Gwajima amesema kuwa kwa mujibu wa Sheria, Viongozi waliopo madarakani katika Baraza hilo muda wao ulikwisha tangu mwaka 2019. Dkt. Gwajima ameongeza kuwa Baraza hilo limeshindwa kufanya uchaguzi kwa kipindi chote pamoja na kuelekezwa na Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kufanya hivyo kwa muda mrefu. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 2