Duration 4:36

MAJUTO amekosa kitanda Muhimbili Tuliambiwa vimejaa

14 524 watched
0
100
Published 25 Jan 2018

Taarifa iliyoripotiwa Leo January 25, 2018 ni kuhusu King Majuto ambapo ilisemakana kuwa amelazwa Muhimbili, sasa Ayo Tv imempata Masoud aliyetoa taarifa hiyo ambaye ni Afisa habari wa Chama cha Waigizaji ameelezea kuhusu Majuto kukosa kitanda Muhimbili na kurudishwa nyumbani. Msikilize kwa Bonyeza PLAY

Category

Show more

Comments - 27