Duration 6:45

Sababu za Petroli kuadimika zatajwa, Ewura yatangaza bei mpya ya mafuta

308 watched
0
6
Published 4 Aug 2020

Kufuatia baadhi ya maeneo nchini kuripotiwa kuwa na uhaba wa mafuta ya petroli mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji EWURA imesema sababu ya kuadimika kwa mafuta hayo mwishoni mwa mwezi Julai ni kutokana na meli iliyokuwa na shehena ya mafuta kuchelewa kuingia nchini kwa muda wa siku saba.

Category

Show more

Comments - 0