Moja Wakati Mgumu Sana Ambao Watu Wengi Wanapitia Ni Baada Ya Mahusiano Yao Kuvunjika.Kuna Hatua Tano (5) Lazima Upitie Mara Baada Ya Mahusiano Yako Kuvunjika:
1.Denial (Kuto Kukubaliana Na Uhalisia)
2.Anger (Hasira)
3.Bargaining (Kutafuta Kurekebisha)
4.Depression (Uzuni & Msongo Wa Mawazo)
5. Accepatance (Kukubaliana Na Hali Iyiokea)
Kitu Cha Muhimu Cha Kuzingatia Ni Kwamba Usiingie Katika Mahusiano Mapya Kabla Ya Kufika Katika Hatua Ya Mwisho Inayoitwa Acceptance.
#SeeYouAtTheTop#TimizaMalengoYako#JoelNanauka