@angeldikson32704 years agoJamani me hata sielewi hamnipagi coment. 13
@
@naitwachilipo8924 years agoNadhani ni miujiza tu ya mwenyezi mungu, kama ilivyo kwa ngorongoro (chemchem) za maji yanayo chemka . 4
@
@sharifamfaume93424 years agoKazi nzuri kaka mungu akuweke, tim wifi usiwaze kuhusu bando. 16
@
@tttooo1564 years agoEt kabla hujashangaa na sisi unawez shangaa simu yako imeisha bando mbavu zangu mie. 13
@
@komboarts71104 years agoYib ni moja ya online tv tunazohitaji kuwa nazo kabisa kwa elimu mbalimbali na si kuzungumza umbea tu, mko wapi tunawapataje? 2
@
@erickmack25344 years agoMe nadhani ni madini flani yapo chini ya eneo hilo yananguvu zinazo sababisha vitu kupanda badala ya kushuka. 5
@
@geraldrenatus29964 years agoHapo kikubwa n maombi ya kubomoa nguvu za giza. 3
@
@ursulamkuele18904 years agoMi nadhani huko ndiko tunakoenda tukifa. 1
@
@geresonochieng70984 years agoNdio maana binadam kwakuwa hawaamini iliwajuwe kunamungu tu. 2
@
@asiamusilimohammed16014 years agoKuna viumbe wanaoendana na mfumo wa hiyo sehemu wanaishi. 1
@
@micamathew25954 years agoTumwachie tu mungu ila tusikome kuomba.
@
@christiangodfrey88844 years agoNimakaz ya aliens. Yani nimakazi. Ni mji huo wa watu. 2
@
@salujuma68734 years agoYib tunawapenda tena sana lakini tumechoka na vidio hizi kila siku hakuna nyengine? 2
@
@fadhilkadadi37374 years agoVip yib hamna group la whatsapp ili mniunganishe? 5
@
@fredrickmassare67824 years agoMwendelezo was story ya medusa umeishia wapi? Broo. 3
Related videos for Sehemu Yennye Nguvu za AJABU Inayofanya Watu Wanaelea Hewani.: