Duration 4:45

Itracom fertilisers imeweka jiwe la msingi ishara kuwa shughuli za ujenzi za kiwanda zimeanza rasmi

2 060 watched
0
36
Published 22 Oct 2021

ITRACOM FERTILISERS LIMITED ni kiwanda cha ITRACOM kupitia kiwanda cha kutengeneza mbolea FOMI fertilisant Organo Mineral.kimerasimisha shughuli za ujenzi wa kiwanda nchini Tanzania. mgeni rasmi katika shughuli za kuweka jiwe la msingi,zimehudhuriwa na Mh. Rais wa jamhuri ya Burundi Evariste NDAYISHIMIYE .kiwanda hicho kitakuwa na uwezo wa kiasi gani ? kitaajiri wafanyakazi wangapi ?ni manufaa yapi kwa nchi ya Burundi. Fuateni mwandishi habari wa Mashariki TV ambae amekuwa uwanja wa tukio

Category

Show more

Comments - 4