Duration 27:15

IPI DINI YA MAJINI //Sheikh Yahya Issa/Sheikh Hassan Kariuki

19 818 watched
0
188
Published 18 Jan 2018

MDAHALO SEHEMU YA PILI💒 mada Je Majini ni viumbe vya Mwenyezi Mungu? Swali mbona mnatumia pete, na kitamba,kutoa pepo? Bishop hatakama zinatumika kuna nguvu za bwana yesu nyuma za izo kitamba na pete. Andiko uliyonuku katika marko 16:18 unaiamini? Bishop ndio bila shaka. Haya andiko inasema hao waaminio wataongea na lugha mpya ongea tukusikie. Bishop tafathali usimjaribu bwana hata kidogo. We huamini andiko. Bishop naamini sana. Basi ongea hiyo lugha ya mbinguni tusikie. Bishop hiyo sio lugha ya mchezo mchezo na siwezi ongea mpaka roho mtakatifu ashuke juu yangu🤣 Ili upate raha ya mjadala usikose kutizama,kama umependa tupe comment yako na share kwaajli ya Allah.

Category

Show more

Comments - 105