Duration 3:30

RC Malima atoa onyo kuhusu ushirikina kwenye miradi ya maendeleo

1 255 watched
0
3
Published 16 Nov 2021

Mkuu wa mkoa wa Tanga Adam Malima ameagiza kamati ya ulinzi na usalama,wabunge na viongozi wa CCM wilaya ya Handeni kwenda kuongea na wananchi ambao wanaweka mapingamizi kwenye miradi ya maendeleo kwa kutisha na mambo ya kishirikina,kwamba waache tabia hiyo. Mkuu huyo wa mkoa ametoa maagizo hayo katika ziara yake ya siku moja wilayani Handeni ya kukagua miradi ya maendeleo hasa vituo vya afya na kueleza kuwa wapo wananchi wanatishia mambo ya kishirikina kwenye miradi kwa kudai fidia,au kujitokeza mambo ya ajabu ambapo amesema ikitoa suala kama hilo mradi utaondolewa kwenye eneo husika.

Category

Show more

Comments - 4